Recent content by amirado

  1. A

    JamiiForums Tanzania Tetemeko kubwa la Ardhi laikumba mikoa ya Mwanza, Kagera...

    Dah hiyo noma sana[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
  2. A

    JamiiForums Tanzania Prof. Ndalichako: Walimu wameshalipwa madai yao yote

    Et 30 kati ya 80 hivi hii idadi mbona kama imepungua au ni tofauti na ile idadi ya 31 kati ya 81 na mbona vyuo haviongezeki ni mwezi sasa tunaambiwa uhakiki ni vyuo hivo 31
  3. A

    JamiiForums Tanzania Je, Ni wakati wa kuwajua wadaiwa wote nchini?

    Alafu nakereka sana ninapoona mtanzania anashjndwa kutofautisha kati ya R na L. Wew muandishi hapo ni Raha na sio Laha we huoni kama haviendani?
  4. A

    JamiiForums Tanzania East africa presidents ndani ya combat!

    Mi naona kagame yuko fiti si unaona hata hiyo saluti yake jinsi kiganja kilivyonyooshwa?
  5. A

    JamiiForums Tanzania Beki wa Yanga Hassan Kessy Kuburuzwa Mahakamani na Simba SC!

    Hivi hili swala la kesy pia tunahitaji fedha za kigeni kulimaliza? Au tunahitaji msaada wa wamarekani na wachina?
  6. A

    JamiiForums Tanzania Idadi ya vyuo vilivyopata pesa ya field na majina yao

    Wanajamii forums naomba mwenye kujua jumla ya vyuo vilivyopata pesa ya mafunzo kwa vitendo awamu ya kwanza anijuze
  7. A

    JamiiForums Tanzania Lema atoka hospitalini, sasa yupo tayari kwa UKUTA

    Mungu cku zote huwa upande wa wanyonge so dhamira zitaongea cku moja
  8. A

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu! Hivi hii ni kawaida?

    Mimi sioni kama kuna shida hapo maybe ubongo wako umeshindwa kuhimili basi
Back
Top Bottom