Recent content by amir_halla

  1. amir_halla

    Biashara Honda Vario 150

    MC 312 CDA 3,500 KM
  2. amir_halla

    Biashara Honda Vario 150

    🔥 INAUZWA: HONDA VARIO 150 (2019) 🔥 🛵 Aina: Honda Vario 150 🎨 Rangi: Nyeupe 📆 Mwaka: 2019 💰 Bei: Tsh 4,000,000 📍 Eneo: Dodoma 📌 Maelezo: Honda Vario 150 ipo katika hali nzuri sana, imetunzwa vizuri na iko tayari kwa matumizi. Injini iko sawa, mwendo mzuri na matumizi mazuri ya mafuta. 📸 Picha...
  3. amir_halla

    Nataka niingeze faida angalau Tsh 2000/= kwa siku UTT AMIS, niwekeze Tsh ngapi?

    Naomba kuuliza UTT-AMIS siyo jamii ya LBL na KALYNDA, Nataka kujiunga lkn naogopa wasije kuniingiza chaka
  4. amir_halla

    Changamoto katika mfumo wa ajira jeshi la Zimamoto

    Ume update My Profile, zile habari za single cjui, disability n.k
  5. amir_halla

    Changamoto katika mfumo wa ajira jeshi la Zimamoto

    Nimefanikiwa kwa mbinde sana, e-GA wasaidieni Jeshi la Zimamoto Server zao zimezidiwa sana, bando lote linaisha kwa kuomba ajira 😥
  6. amir_halla

    Leo nimeelewa kwanini watu wakimshika mwizi wanamalizana naye

    Mkuu Dodoma maeneo gani ili tuwashauri waje na uko, mana huku ihumwa ni balaa🥲, Askari washaanza kupiga doria.
  7. amir_halla

    Wadau samahani naomba kujua Njia ya kusafirisha Honda kutoka Dar es Salaam kuja Dodoma

Back
Top Bottom