Recent content by amino acid

  1. A

    JamiiForums Tanzania If no dirty tricks, what is wrong with independent tallying for verification?

    Kwa mjibu wa Nec kila mgombea/chama ana haki ya kuweka wakala wake kuanzia ngazi ya kituo cha kupigia kura,kuhesabu kura na kutangaza matokeo kwa ngazi ya kituo,kata na jimboni tu. Lakini ni kosa la jinai kwa ngazi ya taifa kwa wakala wa chama/mgombea kushuhudia matokeo yake toka majimboni...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Mzee Matson Chizi Mwizi maarufu wa Kura aliyehama CCM na kujiunga CHADEMA

    Teeheeeeeeeeeee,teheeeeeeeeeeee kupitia chama gani vile!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  3. A

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa makamanda na wadau wote wa mabadiliko chini ya UKAWA

    Alisema alisema alisema Nyerere alisema.......................
  4. A

    JamiiForums Tanzania Vitisho vingi vinaibeba UKAWA

    uko sahihi sana
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kweli pesa tamu, Gazeti la Raia Mwema siamini kama mmeiacha njia Kuu, mnasikitisha sana

    wakati wa kuwajua waandishi wasakatonge/wachumia tumbo ni sasa Wakati wa kuwajua waandishi wa habari makanjanja ni sasa Wakati wa kuwajua wahariri wanaosigina taalauma ya habari ni sasa. TCRA wako wapi? Moat vipi ? nk
  6. A

    JamiiForums Tanzania Jaji Lubuva Asema Sheria Inawaruhusu Raia Mita 200

    Pa tamu hapo
  7. A

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Tume ya taifa ya uchaguzi, kupokea, kujumlisha na kutangaza matokeo kuweni wazi na wakweli

    Mamlaka halali ya kumtangaza mshindi kwa ngazi ya uraisi ni tume baaaada ya kupokea matokeo toka majimboni Mamlaka halali ya kumtangaza mbunge ni mkurugenzi wa manispaa/halimashauri baada ya kujumlisha matokeo toka kata MAMLAKA YA KUMTANGAZA DIWANI NI MTENDANI WA KATA BAADA YA KUJUMLISHA KURA...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Mikutano ya Lowassa Ngorongoro, Kilindi, Handeni na Tanga Mjini - Oktoba 21, 2015

    nakumbuka wakati wa uzinduzi alisema watafanya kampeni za kistaarabu na watafika kila wilaya. Hakika watatimiza
  9. A

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Tume ya taifa ya uchaguzi, kupokea, kujumlisha na kutangaza matokeo kuweni wazi na wakweli

    Ushauri kwa tume ya taifa ya uchaguzi chonde chonde: TUNAAMINISHWA KUWA TUME YENU NI HURU na Wengi wenu kama sio wote yaani Mwenyekiti, Mkurugenzi na makamishina wa tume tunaamini wote ni wanasheria weledi. Ili haki itendeke ni budi ionekane kuwa imetendeka. Wakati wa kupokea matokeo toka...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi waliochaguliwa Sokoine University of Agriculture

    1.Umesema chuo bora ni cha ngapi kwa ubora afrika?
  11. A

    JamiiForums Tanzania Je, UKAWA tusiposhinda urais 2015 na ubunge japo kwa 50%, plan B ni ipi?

    Salutation Legwanan alisha sema hana msamiati wa kushindwa. Plan B iko jikoni ikiwa tayari utaijua. Tueleze the next side when they collapsed in this presidential election what will be there next plan?
  12. A

    JamiiForums Tanzania Hii ni aibu kubwa kwa taifa letu

    Angalau hii ni hoja badala ya kuleta vihoja vya ukabila.
  13. A

    JamiiForums Tanzania Unajua E.Lowassa sio Mmasai, ni Mmeru aliyeasi kabila, Arumeru mkataeni ila hela kuleni

    Mleta uzi kwa upeo wako mkubwa mada yako ina faida gani humu? BADALA ya kuleta hoja za maana una leta hoja za kuwajadili watu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Tena hoja ya huyu ni kabila gani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Karne ya 21 ukabila kwako ni issue!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Mwalimu...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo kufuli itakayotumika kufungia mafisadi Segerea baada ya 0ctober 25 tingatinga likiwa ikulu

    Usihukumu kabla hujahukumiwa Hizi nituhuma Chombo pekee nchini cha kumtia mtu hatiani ni mahakama tu. Escrow,Epa,Kagoda,Meremeta,Nyumba za serikali,IPTL n.k ni EL?
  15. A

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo kufuli itakayotumika kufungia mafisadi Segerea baada ya 0ctober 25 tingatinga likiwa ikulu

    ufisadi ni mfumo. Je kofuli ya kufungia mfumo ni Makofuli? Watajeni waasisi wa mfumo wa ufisadi na tutajieni majina mnaotarajia kuwafunga.
Back
Top Bottom