. Hivyo ili tusiache Bunge letu lidharirike na jambo hili tulimalize kifamilia basi naomba kuwaalika kutoa mapendekezo ya nini "uchunguzi" useme ili jambo hili limalizwe "kiutuzima". Kwa maneno mengine naomba tuwarushie CCM, na Bunge kamba ya kutokea katika shimo walilolichimba wenyewe...
....Precisely, you cant hold a constructive conversation, unarusha tu maneno. You are either mad, shule ilikushinda or bado unaakili za kitoto. Again i say, if i have judge you wrongly, prove your self otherwise.
wewe kadaM, watu tutaendelea kuimba nyimbo hiyo hiyo mpaka isikike kona zote za dunia. usipo rudia itasahaulika. Naamia nia yako ni kwa haya mashairi yasisikike kote. If am wrong and you do have any other alternative/ contructing ideas then start a new thread ujieleze. Lakini haya mashairi bado...
for public interent,
serikali ya kikwete na familia ya balali wanahitaji kutoa maelezo ya wazi (to make the oicture clear) kama jamaa amefariki.
mnavyokaa kimya mnazidi kuongeza mafuta kwenye mota huu wa hii kasumba.
umnavyoacha picha blank, yaani mnatuambia sisi tu fill inthe blank kutokana...
..asante Kakalunde,
naona wana Jf bado tunaongelea hii ishu ya uchunguzi wa SFO.
huu unchunguzi si wakutusaidia sisi watanzania.
their is too much money & to many corrupt agenda within BAE. I believe they did bought Tony Blair's goverment to shut up in most of their dealings.
BAE wanauza...
Sasa sisi bado tunasubiri majibu???!!
The unanswered questions
David Leigh The Guardian, Wednesday May 7 2008 Article historyAbout this articleClose This article appeared in the Guardian on Wednesday May 07 2008 on p6 of the UK news section. It was last updated at 00:09 on May 07 2008
...
Hi ivestigation ya BAE ilianzaga miaka kama mitatu iliyopita, lakini court ya uingereza ikaingilia katu kwamba kamati ya uchunuzi ifutwe (isiendele na uchunguzi) kwa sababu Mfalme ya Saudi ambaye familia yake inasemekana walikula mshiko wa bilioni moja (pounds) alitishia kuvunja all channel he...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.