hizo tabia ulizotaja karibu zote zinanigusa. ila nilichapwa sana nikiwa darasa la 5. mwalimu alikua hanielewi jinsi navyolaza daftari upside down ndio naandika. na nikiwa form 2 wakati wa kushona handles za cherehani ziko kulia basi ilikua tabu tupu.
Naomba mwenye kujua sababu ya gari aina ya bmw series e 381i kutetemeka usukani ninapofikia speed 80. tafadhali nisaidieni maana inabido niende spidi mwisho 70 wakati gari ina 245. haina tatizo lolote lingine. naomba ushauri hapa baada ya mafundi kuongea vitu vingi tofauti. wengine wanasema...
rugambwayt,
Spea zipo shauri moyo, na hata mwenge ila bei sio kama toyota. enjoy the speed maana ikiwa barabarani inatulia kama maji! ni ngumu na imara.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.