Recent content by Amigoh

  1. Amigoh

    Addicted

    Safii
  2. Amigoh

    Tetesi: Mange: Serikali yatoa maagizo ya kuwatambua Viongozi wa Dini wasiomuunga mkono Rais Samia

    Napost nikiwe ujerumani sahii.. 😅😅😅 guys huwa sipost sana humu, kipindi cha COVID niliwahi post kitu, kesho yake nikakuta kunamtu alijaribu ku login to my email nikafanya back tracking nikakuta anatokea pale Dodoma ikipo library ya Dodoma named viwandani.. so tusijipe asilimia 100% kwamba we...
  3. Amigoh

    Kupagawishana, kuchezeana na kuamsha mizuka kwenye simu

    Hizi meseji wanandoa mnazipuuza Ila zimefanya nimpune mke wa mtu kimasihara.. endeleeni kujifanya hamna muda😂😂😂
  4. Amigoh

    Zijue tofauti za kihuduma na Maslahi kati ya Zanzibar na Tanganyika

    Wakuu elimu Zanzibar bado ni ndogo sana.. acha waongezewe motisha ya siku nimeenda duration mzee nimenunua vitu vya 6k chenxhi ya kunipa katumia calculator.. sitanii wakeup, angalia hata NECTA Zanzibar wazazi wengi swala la elimu Dunia wanalipuuza sana
  5. Amigoh

    Kumbe Marehemu Ndugai Alikuwa na Wake Wawili?

    Kwani wewe umekuwa na demu mmoja tokea uzaliwe mkuu??!
  6. Amigoh

    Hukumu ya kunyongwa kwa Tundu Lissu itakuwa ni doa kubwa kwa vyombo vya usalama

    Mahakama haikosei upelelezi wa muaka 9 di nchezo.. wasije wakawa wanahusika na matukio ya kibiti, kuna mahistadhi wa wawili walinifundisha karate sahivi siwaoni pia mwanzo niliambiwa na wa kwanza kuwa mwenzie kaenda SA sahivi nalie niambia kupindi cha mzoozi wa kibiti alipotea pia
  7. Amigoh

    Unajua taarifa zako sasa kuhifadhiwa mwezini? Wanasayansi wanajenga Vituo maalumu huko

    Nduo maana nikasema "kama sikosei.." nikimaaniisha sina uhakika kwa kifupi ulichosema ni uongo.. mpaka muda huu hakuna teknolojia ya kwenda mwezini so unachokisema hapa nitu cha kufikirika tu
  8. Amigoh

    Unajua taarifa zako sasa kuhifadhiwa mwezini? Wanasayansi wanajenga Vituo maalumu huko

    Badala ya kusema sasa ungesema baadae, maana mpaka sasa hakuna teknolojia ya kwenda Mwezini. Hata ile safari waliyotangaza Marekani kuwa walienda mwezini miaka ya 80 kama sikosei imekuwa na mashaka maana wanadai teknolojia ilipotea.. how come mpaka sasa ni miongo kariba minne still wanasayansi...
  9. Amigoh

    Tanzania hatuna biashara tunafanya Marekani? Tuko kimya sana kuhusu Tariff za Trump, Wenzetu Kenya wanajadili sana soko lao la Nguo

    Tunakiwanda kinatengeneza nguo tunauza Marekani, lakini sidhani kama sisi tumeathiriwa kwasababu mkataba unatubhana kuuza hizo nguo hapa ndani.. hizo nguo Marekani ni gharama sana kutokana na kuwa na ubora wa hali ya juu.
  10. Amigoh

    Uliza chochote kuhusu mkoa wa Kagera, nitajibu kila swali

    Kingine kwanini hamjengi kwenu?.. na umasikini ni mwingi wakati mbezi Beach karibia kila nyumba ni ya mtu wa kagera🤔
  11. Amigoh

    Uliza chochote kuhusu mkoa wa Kagera, nitajibu kila swali

    Kipi ni chanzo cha majimaji war.. kwa wanawake wa kagera??.. maana nina mmoja huyo katikati ya tendo lazima aombe kwenda chooni!
  12. Amigoh

    𝗞𝘂𝗺𝗯𝗲 𝗔𝗹𝗹𝗶𝗲𝗻𝘀 𝘄𝗮𝗽𝗼 𝘄𝗮𝗹𝗶𝘄𝗮𝗴𝗲𝘂𝘇𝗮 𝗪𝗮𝗻𝗮𝗷𝗲𝘀𝗵𝗶 𝘄𝗮 𝗦𝗼𝘃𝗶𝗲𝘁 𝗞𝘂𝘄𝗮 𝗺𝗮𝘄𝗲

    😅😅😅.. mleta mada kadanganya sana kilichoandikwa na anachosema nitofauti kabisa, ni kama alisimuliwa hivi alafu hakusoma hiyo report, by the way. Uwezekno wa Aliens kuwepo upo.. lakini cha kujiuliza hao Allen's hawapajui Afrika?? Maana case >tell ni N.A, S.A na huko Urusi😅 Au huku ndo...
Back
Top Bottom