Mdogo wangu, kwanza naamini hujambo.
Kumbuka, watu wengi wanaolalamika humu sio wote masikini au wajinga, ila, kuna mifumo Serikalini ambayo inatuhujumu hata sisi Wafanyabiashara wakubwa.
Mkuu, nadhani hujanielewa. Mimi nimesema nitumie business proposal yoyote ile (kama unayo).
Nitakachofanya mimi ni kutazama mawasilisho kwenye proposal hiyo, yaani nione maudhui ya kwenye kila hint, ili na mimi niandae proposal yangu kwasababu idea zinatofautiana.
Mimi sio mwanachuo...
Nimependa hapo kwenye conclusive remarks, kwamba hakuna standard form ya uandishi wa hizi proposals. Kwahiyo mkuu, kwa kuzingatia hizo hints, nazipa nyama kwa mtindo wa paragraphs tu?
Mkuu asante sana aisee. Hii imeshiba mno.
Kwa mchanganuo huu, naamini kabisa kwamba lazima utakuwa na sample ya andiko la biashara, hapa umenipa hints tu mkuu, nahitaji zile nyama za ndani sasa, ili nibadilishe baadhi yake tu kwa minajili ya kuendana na wazo langu.
Please assist!
Wakuu habarini za wakati huu...
JF ni kisiwa cha maarifa. Naamini wamo wajuzi wa kuandaa 'maandiko ya biashara' au business proposal(s).
Naomba maelekezo. Au mwenye 'template' ya andiko lolote la biashara naomba atupie humu ili mimi nibadilishe content tu.
Ninachohitaji ni kujua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.