Recent content by Amics

  1. A

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hakuna Mtanzania atakayeandamana Oktoba 29. Ninawajua Watanzania vizuri sana

    Watanzania si waoga. Iwekwe wazi kwamba 90% ya Watanzania wenye akili na magenius hawapingani na CCM. Wengine ni wadau wa CCM. Siku hii nchi ikitoka mikono ya CCM ndio mtaelewa nimechokimaanisha
  2. A

    JamiiForums Tanzania GE2025 Prof. Kabudi: Samia ametimiza aliyoshindwa Mwalimu Nyerere

    Hii JF mbona inawatu wahovyo sana. Mijitu imesoma highlighted heading then ina comment tu. Soma quotation ya chini "Dr Samia Suluhu Hasani katimiza mambo makubwa ambayo Baba wataifa aliyataman but hakuweza kuyatimiza" Hapo kunashida gani ? Mambo haya yana apply kila siku kwenye maisha yetu...
  3. A

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia amekumbwa na nini? Mbona anajivuruga kiasi hiki kwenye hotuba zake

    Kama ndio hoja zenu hizi basi October naenda kutick
  4. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    😂😂kuna vituko kwa hii dunia
  5. A

    JamiiForums Tanzania Hivi Chadema masalia wapo, na wanajishughulisha na nini kwasasa?

    Wapo idadi yao inaweza fika elfu 17 hivi. Kazi kubwa walionayo sasa nikukaa mitandaoni wakisubiri millard ayo apost waka comment, JF mtu aandae uzi wake safi wavuruge huku wakisubiri hadithi za mwendomwendo na Mrs kimambi ili waje watusimulie.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Huenda Polepole ndiye kijana mTanzania wa hovyo zaidi na aliechafua zaidi taswira ya vijana katika utumishi wa umma tangu tupate uhuru

    Polepole akili yake haipo sawa. Kusema "Kikwete hajui utaratibu wa chama" niwazi kuwa apaswa kupimwa akili huko alipo haipo sawa
  7. A

    JamiiForums Tanzania R.I.P JPM, i used to hate u but now im even in darker room,I cry bitterly when I see JK,RM,Samia and Abdul.

    Hii nchi hakuna Rais atakumbukwa kama Mama Samia, itakuchukua miaka 30(awamu tatu) to have someone like her
  8. A

    JamiiForums Tanzania GE2025 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu na Dkt. Emmanuel Nchimbi

    Asilimia kubwa ya wataopiga kura msimu huu wanamkubali Samia.
  9. A

    JamiiForums Tanzania GE2025 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu na Dkt. Emmanuel Nchimbi

    Hii sio hoja, Watu wanaenda sababu wanapenda swala la wameendaje sio issue
  10. A

    JamiiForums Tanzania Gwajima: Mbele yetu sisi kama CCM kuna hatari, Mungu ataingilia kati ili awatetea watu wake

    Nyie mmesoma soma history hivi dola gani ilipinduliwa kwa watu kukaa tu na kusubiri Mungu ?. Au tunataka kutengeneze history mpya. Mimi naona hizi hbr za Mungu Mungu ni uvivu tu wakufkiria. Kama Gwajima nae kaja na habari za Mungu Mungu na Samia na Chalamila nao jana siwalikuja na hizo hizo...
  11. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Miguno, vilio, sauti za mahaba ukiwa kitandani

    Wanakuwa wanaskia raha. Alinambia rafiki yangu
  12. A

    JamiiForums Tanzania GE2025 INEC, NIDA wamkana Polepole

    Tanzania hatuna mfumo wa kura. Ni vizuri utambue hapa JF kunae ma genius wasio kubari kirahisi taarifa za mitandaoni bila kujihakikishia ukweli wake
  13. A

    JamiiForums Tanzania GE2025 Padre Emilius Kobelo: Wanaosema Kura zinaibiwa siyo waendawazimu, huwezi kufikiria jambo ambalo halipo

    Bora yako wewe unaitenga serikali na CCM
Back
Top Bottom