Recent content by Ametoka

  1. A

    JamiiForums Tanzania Je, kuna Mungu? Kwanini aruhusu mateso makali duniani?

    Upendo ni nini na huruma ni nini ?
  2. A

    JamiiForums Tanzania Je, kuna Mungu? Kwanini aruhusu mateso makali duniani?

    Hujajibu swali nililo kuuliza.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Je, kuna Mungu? Kwanini aruhusu mateso makali duniani?

    Ungejibu nilichokiuliza kwanza. Naam mimi naona hivyo.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Je, kuna Mungu? Kwanini aruhusu mateso makali duniani?

    Hujajibu swali nililokuuliza. Sasa kama hujui kwanini unapinga jambo hulijui ?
  5. A

    JamiiForums Tanzania Je, kuna Mungu? Kwanini aruhusu mateso makali duniani?

    Huo uovu unao usema wewe yeye ndio ameruhusu uwepo.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Je, kuna Mungu? Kwanini aruhusu mateso makali duniani?

    Safi kabisa, kitu ambacho hakipo unakijuaje ?
  7. A

    JamiiForums Tanzania Je, kuna Mungu? Kwanini aruhusu mateso makali duniani?

    Thibitisha Mungu hayupo.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Je, kuna Mungu? Kwanini aruhusu mateso makali duniani?

    Unajua sababu ambazo huwa zinafanya Contradictions ziwepo ? Sio kila jambo lina Contradictions, mfano la hili la uwepo wa Mungu. Bali ni ujinga wenu na matamanio yenu ya nafsi, ndio maaa si ajabu kuwaona mnabisha jambo na hamna hoja wala ithibati.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Je, kuna Mungu? Kwanini aruhusu mateso makali duniani?

    Msingi wa logic ni nini, mpaka kwako iwe marejeo ?
  10. A

    JamiiForums Tanzania Je, kuna Mungu? Kwanini aruhusu mateso makali duniani?

    Wewe unajua au unaamini ya kuwa imekwaje Ulimwengu ukawepo ? Shids tamko Imani mnalichukulia katika muono finyu wa kustaajabisha. Imani kuna wakati hutanguliwa na kujua yaani kuwa na elimu ya yakini kabisa isiyo kuwa na shaka. Sasa wewe mbona unashindwa kutupa ushahidi na uthibitisho ya kuwa...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Je, kuna Mungu? Kwanini aruhusu mateso makali duniani?

    Thibitisha hilo.
  12. A

    JamiiForums Tanzania Je, kuna Mungu? Kwanini aruhusu mateso makali duniani?

    Sasa angeepusha vipi wakati yeye ndio ametaka viwe na vitokee na kama angeamua visiwe visinge kuwa. Shida hutoi hoja za uhalisia zaidi ya falsafa ya kama mara ingekuwa mara vile. Yaani unaleta Falsafa katika uhalisia.
  13. A

    JamiiForums Tanzania Je, kuna Mungu? Kwanini aruhusu mateso makali duniani?

    Ishara na dalili za uwepo wake ziko nyingi na ziko wazi sana. Ushawahi kujiuliza katika umbile lako, kwanini jasho lina chumvi chumvi, au ute wa sikioni ni mchungu na mate ni kama hayana ladha ? Angalia uwepo wa ulimwengu na vilivyomo, jinsi vilivyo pangwa na kupangika ? Hamtumii akili na moyo...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Je, kuna Mungu? Kwanini aruhusu mateso makali duniani?

    Wewe kwanini unahangaika kukana kituambacho hukijui ? Mola hafanyi mambo yake kama unavyo taka wewe, ndio maana kila kitu kinaenda kama alivyo panga yeye, sababu yeye ni mwenye nguvu mwenye kujua. Tunaongea kwa niaba yake sababu yeye ametaka iwe hivyo, na huo ndio utaratibu wake, wala...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Je, kuna Mungu? Kwanini aruhusu mateso makali duniani?

    Tatizo maswali yenu mnayajenga kwenye dhana na majibu mepesi ambayo muhusika hujafikiria uhalisia wa unachokiuliza. Matumizi ya "..nge.." kwa maana ya "Angekuwepo ..." au kadha wa kadha ni dhana ambayo haina uhalisia. Kusingehitajia vipi ? Umejuaje kama asingekuwepo kungekuwa na maswali haya ...
Back
Top Bottom