Recent content by amepro12

  1. A

    JamiiForums Tanzania Dunia imebadilika sana, hata hausikii ndege zikitekwa

    Ndo maana pia wizi wa sasa ivi hufanyiki physical kama zamani labda wa yule wa mwanza😅.. Sa ivi ni mwendo wa IT na kuamisha tuu njulu na kulala mbele
  2. A

    JamiiForums Tanzania Mbunge Kingu: Dudu Baya ni mpambanaji, tutamchangia shilingi million 1.5

    Hujui ata maana ya kutetea haki, amani na kulinda maadili kijana
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kujiajiri vs Ajira ya Kuajiriwa: Je, ni kweli ujasiriamali ndio suluhisho la umasikini au ni njia ya kujitesa kisaikolojia kwenye uchumi mgumu?"

    Ajira ndio kila kitu buana, tusidanganyane kwenye kujiajili, unakuta kati ya 100 waliojiajiri, 1 ndo katoboa waliobaki wote ni kusota mtaani. Cha muhimu wee ukipata ajira iliyonyooka ishilie vizuri ukikosa ajira pia usibweteke na kusema huna ajira.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini Ili nisimpoteze

    Dem wako ivi punde ametoka kusoma post yako apa jf akabaki anacheka 😅😅
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu amefanya majumuisho ya mwisho Mahakamani 23/9/2026

    Daaaaah mambo ni mengi sana
  6. A

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu amefanya majumuisho ya mwisho Mahakamani 23/9/2026

    Hahahaha awa washapewa chaooo
  7. A

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu amefanya majumuisho ya mwisho Mahakamani 23/9/2026

    😅😅 hadi umeamua ucheke boss, sema wanazinguaaa bhana, watu tupo active kupata info
  8. A

    JamiiForums Tanzania Saa 6 mchana kinachoendelea mahakama kuu ya Dar es Salaam muda huu

    Ukisema nje mvua inaeendelea kunyesha unamaanisha nini Mr. Mayanza
  9. A

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mahakamani - 15 Septemba, 2026: John Heche aendelea kutoa ushahidi

    Uchawini ndo wapi mzee mayanza
  10. A

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu Septemba 10, 2026: IGP Wambura, DCI Kingai na CDF Mkunda waitwa kutoa ushahidi

    Ukute wee jamaaa ni samuya Ni vile tuu umejificha kwa jina la presidee wa china
  11. A

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu Septemba 10, 2026: IGP Wambura, DCI Kingai na CDF Mkunda waitwa kutoa ushahidi

    Sema wee jamaaa jau sana, sidhani kmaa presidee wa china anaakili kama zako,
Back
Top Bottom