Recent content by amen ana

  1. A

    JamiiForums Tanzania Natoa pole kwa mapacha walioungana, Consolatha na Maria

    God have mercy on those girls I pray.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Hivi Musa alikuwa Myahudi au Mwarabu?

    Alikuwa mchaga
  3. A

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Tundu Lissu ameweza kuongea akiwa Hospitalini; '"Mwenyekiti, I survived to tell a tale, Please keep up fighting"

    In Jesus name l pray for your quick recovery. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. A

    JamiiForums Tanzania Dunia simama nishuke

  5. A

    JamiiForums Tanzania Utani wa wachaga

    Simpleton
  6. A

    JamiiForums Tanzania Ankara(Bill) ya Majitaka ni wizi uliohalalishwa na nani?

    Dawasco tumeni bill inayoonyesha matumizi halali.Mita INA faida gani kama mwakisia mkiwa ofisini.halafu bila soni mwatuma huyo bill fake tarehe tano ya mwezi husika. Maana yake nini.?
  7. A

    JamiiForums Tanzania Tigo mnatukera na matangazo ya 'caller tunes'

    Kweli wanakera hata basi
  8. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini ngono ni dhambi?

    Ngono iliwekwa na mungu kwa madhimuni ya kuongeza viumbe hapa duniani.kazi ya uumbaji wa wa mungu pekee hana msaidizi. Hivyo waliopewa hukumu hili la Mingu mtakatifu budi walifanye kitakatifu kwa utaratibu alioukubali.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Haya yanaweza kuwa mapungufu makubwa ya Rais wa awamu ya 5

    Kweli makufuli ana udhaifu mkubwa wa kuamua nini kisemwe wapi na lini. Vijembe vitamuumbua siku moja. Lo! Awaachie vijembe kina mama wa mitaani sio kutoka kwa rais.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kupata wabunge wa viti maalum

    Kuingia bunge chini ya mwovuli wa Viti maaalum lazima uwe na jinsia ya kike.pili uwe mwanachama ya chama kilicho na wabunge waliochakuliwa toka majimboni.
  11. A

    JamiiForums Tanzania GE2015 Dr. Pombe Magufuli, Rais mteule wa Tanzania awamu ya 5

    Kumbe 59% tu sio 99% ulivyojigamba!
Back
Top Bottom