Recent content by Ameli Mligo

  1. Ameli Mligo

    JamiiForums Tanzania Kilimo ni biashara pekee inayolipa kwa 100%

    Moja ya fikra pumba nilizowahi kushuhudia hii.
  2. Ameli Mligo

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ku-import powertillers aina ya kubot

    Nilisikia machine za kilimo hazitozwi kodi wakati wa kuimport Au kuna exemption kama ni za biashara?
  3. Ameli Mligo

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ku-import powertillers aina ya kubot

    Oooooo nimekupata mkuu.
  4. Ameli Mligo

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ku-import powertillers aina ya kubot

    Hivi hizi wanazouza hapa bongo za kubota original japan wanaimport kutoka nchi gani
  5. Ameli Mligo

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ku-import powertillers aina ya kubot

    Hello guys Nahitaji ku import powertillers aina ya kubota. Kwa yoyote anayejua nawezaje kuziagiza naomba unisaidie na nazitoa nchi gani?
  6. Ameli Mligo

    JamiiForums Tanzania Nimesoma masomo ya sayansi katika Shahada yangu. Je, naweza kusoma Masters of Business Administration?

    Hahahahaha Asante sana kaka nadhani nitashinda
  7. Ameli Mligo

    JamiiForums Tanzania Nimesoma masomo ya sayansi katika Shahada yangu. Je, naweza kusoma Masters of Business Administration?

    Umenipa moyo kabisa nadhani nitaipiga vizuri tuuu
  8. Ameli Mligo

    JamiiForums Tanzania Nimesoma masomo ya sayansi katika Shahada yangu. Je, naweza kusoma Masters of Business Administration?

    Habari wana JF, Ninasoma bachelor degree ya education (Physics na Chemistry) but baada ya kugraduate nataka nikasome masters of business administration. Nina maswali kadha nitashukuru nikijibiwa. 1. Kwa sababu nimesoma pure science ninaweza kumanage kusoma hiyo masters bila shida. 2. Je...
  9. Ameli Mligo

    JamiiForums Tanzania Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Salary scale za TRS mbona sizioni Na je TRS 3.1 ni shilling ngapi?
  10. Ameli Mligo

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada kwa anayejua bei ya mashamba ya korosho huko Mtwara

    Nitashukuru mkuu
Back
Top Bottom