Recent content by ambwilikiti

  1. A

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo moshi nije Dar, pwani au moro
  2. A

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo moshi, nije dar. Odara ya sec
  3. A

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Moshi(Himo) karibu na Arusha. Mimi nije dar. 0767695123
  4. A

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Moshi, Himo nije kibaha
  5. A

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Moshi, nije ulipo
  6. A

    JamiiForums Tanzania PSSSF wanakwama wapi?

    Inakuwaje taasisi kubwa kama hii eti haina Form za kujiunga uanachama hasa kwa waliopo mikoani? Aibu kwenu, mnamtia aibu Rais. Na bahati mbaya hata kwenye website yenu haipo. Aibu sana
  7. A

    JamiiForums Tanzania Kibaha, Pwani: Wananchi wa Lulanzi, Picha ya Ndege wakumbwa na bomoa bomoa bila fidia

    Ni hatari makini salama, wapiga kura hao wawekewa alama ya X ili kupisha barabara (sio barabara kuu) ni barabara ya ndani. Wananchi hao wanyonge wamebambikiziwa kesi ya kujenga bila hati wakati ni eneo la Squata kisa muwekezaji mmoja ameomba njia ya mkato Ku fika kiwandani kwake. Hii ni...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Utalii waingiza Trillion 4

    Ulizeni kingine sasa!!!
  9. A

    JamiiForums Tanzania Utalii waingiza Trillion 4

  10. A

    JamiiForums Tanzania Utalii waingiza Trillion 4

    Mwananchi link,au utalisoma gazeti la mwananchi kesho.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Utalii waingiza Trillion 4

    Pitia linki ya Mwananchi.unataka utafuniwe kila kitu maku we!!!
  12. A

    JamiiForums Tanzania Mabosi Wa Ewura watumbuliwe.

    Ewura watumbuliwe Kwa kundelea kuwakumbatia IPTL.Mnakumbuka IPTL ndio kampuni iliyotuingizia mamilioni ya ya hasara Kwa kutuuzia Umeme ghali sana.
  13. A

    JamiiForums Tanzania Utalii waingiza Trillion 4

    Wakati Serikali inaintroduce tozo za vati kwenyewe utalii kuna waliobeza Tozo ya vati kwenyewe utalii.Sasa Lema sijui ataongea nini maana kaprove wrong!!! Aibuuu sana Kwa makampuni ya utalii yaliyobeza tozo hiyo na kusema inaenda kuua utalii.
Back
Top Bottom