Aisee hii jamaa naikubali m'baaaya,yani akitangaza habari basi mtoto hatumwi dukani. Halafu wanamtiririko mzuri unaomfanya msikilizaji/mtazamaji kuwa na shauku ya kujua habari inayofuata. Sijui kwa nini hili linakua gumu kwa tv/redio zetu za nyumbani..!
Nashindwa kung'amua je!? Hili ni tatizo...
huu mtandao mkubwa bana Walitakiwa atleast wawe na recovery site kwa kila major serving site( iwe switch or whatever you call it) .kuwakosesha watu mawasiliano kwa siku nzima ni chaos kwa kweli.
Maji yamewafika shingoni , hadi huduma kwa wateja nayo imefungwa kwa mda.
Mi washanikata stimu , jana nilinunua bando ya buku 3500 salio langu likakatwa na bando sikupewa hadi mda huu nshawapigia zaidi ya mara 2, lakini jibu ninalopewa nisubiri eti taarifa za matumizi yangu hazionekani kwenye system. So napigwa kalenda tu mara piga baada ya masaa 3 , mara piga saa...
Kwa wale wadau wanaopenda kuangalia astronomical events, basi leo inatarajiwa kushuhudiwa kupatwa kwa mwezi kuanzia saa tano hadi saa saba usiku huu, stay tuned.
source: Apr 25, 2013 Penumbral Lunar Eclipse
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.