Recent content by Ambassador_

  1. Ambassador_

    JamiiForums Tanzania Tathmini ya aptitude test pccb

    Yeah,haitochukua muda
  2. Ambassador_

    JamiiForums Tanzania Tathmini ya aptitude test pccb

    Haijulikani japo haitochukua muda
  3. Ambassador_

    JamiiForums Tanzania Tathmini ya aptitude test pccb

    Duniani hakuna kupumzika mkuu ni mchakamchaka tu
  4. Ambassador_

    JamiiForums Tanzania Tathmini ya aptitude test pccb

    Kwakweli hii asali ni muhimu mkuu
  5. Ambassador_

    JamiiForums Tanzania Tathmini ya aptitude test pccb

    Hatimae ile Aptitude Test iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu kutoka PCCB imemalizika dakika chache zilizopita. To be honest Test ilikuwa nyepesi but very Technical,kiasi kama ukiangalia kimapepe unaweza kuingia chaka. Muda pia ulikuwa mwingi mno kutokana na aina ya maswali yaliyokuwepo,maswali...
  6. Ambassador_

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Alaf na ile position si ni contract based,sio kwamba na mkataba wake uliisha?
  7. Ambassador_

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    @Msemakweli TZ mwaga maneno kama jina lako watu waujue uozo,pengine inaweza kuchochea kufichuliwa kwa maovu mengi zaidi kwenye Taasisi husika..
  8. Ambassador_

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mkuu unaweza kutoa dokezo ya uovu alioufanya yule Bi Mkubwa,maana nilisikia kung'oka kwake ni kwa kustaafu,kumbe behind the scene kuna mazito ,toa dokezo tafadhali...
  9. Ambassador_

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi NMB

    Bima ya Afya ipo na mfuko wa hifadhi pia upo,na Commission kwa kila akaunti unayofungua ipo,kuliko kusugua mtaani kama mtu hana kazi inayoweza kumuingizia zaidi ya kipato hicho ni bora akapige mzigo...
  10. Ambassador_

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi NMB

    Ulisubmit kabla ya muda?
  11. Ambassador_

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi NMB

    Huwa wanatuma email (mara nyingi kwa waliokosa) ila kama umefaulu kulingana na wastani watakaouweka basi utapigiwa simu kwa ajili ya oral...
  12. Ambassador_

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi NMB

    Maswali 40 kwa dakika 20,maana yake kila swali sekunde 30,hili chujio sio la mchezo...
  13. Ambassador_

    JamiiForums Tanzania Yaliyojili written interview TPA

    Mambo ya port operations mwanzo mwisho
  14. Ambassador_

    JamiiForums Tanzania Yaliyojili written interview TPA

    Aiseee kazi ipo..[emoji3][emoji3][emoji3]
  15. Ambassador_

    JamiiForums Tanzania Kazi ni kwako...

    Kuna jamaa[emoji1465] alipost kua anahitaji 20k [emoji383] ana dharula. Watu wakasoma [emoji102] na kupuuzia isipokua dada moja tu ambaye alimfuata DM na kumtumia 50k [emoji383]. Kumbe yule jamaa alikua tajiri akizuga tu, basi akamzawadia yule dada gari [emoji593] jipya. Anyway kwa kifupi na...
Back
Top Bottom