Recent content by ambanjani

  1. A

    JamiiForums Tanzania hii ya akina chagonja na mtweve sio demotion?

    Chagonja hakuwahi kua boc zimamoto, sema watu walizusha tu kapelekwa huko zimamoto
  2. A

    JamiiForums Tanzania Pensheni za Sumaye na Lowassa zatinga bungeni, Waziri Kairuki asema wataendelea kulipwa

    Wanataka kukomoana hao ila hawajui kua mambo yanageuka; maana hata lowassa alisema hawez kuhama ccm kamwe na akahama, wajadili vitu vyenye tija kwa watanzania, tanzania kwanza vyama badae
  3. A

    JamiiForums Tanzania Bure elimu au elimu bure

    BURE ELIMU AU ELIMU BURE, jaman juz nimesikia itv, taarifa kutoka mbinga mkoani Ruvuma kuwa kuna shule mwalimu mmoja wanafunzi200 hii hatar cna kwa elimu yetu, wazir wa elimu hvyo ndvyo vitu vya kufanyia kaz na co kuanza kujadili tutumie gpa au division. Mi ningefurahi kama ungeanza na afisa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Daraja la Kigamboni ni White Elephant Project, Hatulihitaji!

    Hvi kweli mtu anapnga daraja la kigamboni? Acheni siasa za kijinga
  5. A

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa GPA wafutwa na Waziri Ndalichako

    Kwangu tatizo co gpa, wala mfumo wa division mana sawa na taifa stars walipotaka badili jina la timu wakiamin ushindi utakuja, kumbe kinachotakiwa kuandaa timu kuanzia soka la watoto. Sasa hyo mama anatakiwa atuambie nn kifanyike hili elimu ipande, sio kuita waandishi kwa ajili ya division
  6. A

    JamiiForums Tanzania Wananchi wagawana ekari 30 za Sumaye huko Mabwepande. Asema hana wasiwasi...

    Hivi kweli watu mnatetea ujinga wa kuvamia ardhi? Achenib siasa za kijinga
Back
Top Bottom