evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 4,897
- 7,959
Jamani kimtazamo tu hivi hawa jamaa walikuwa makamishna ngazi ya taifa halafu chagonja recently aliteuliwa kuongoza jeshi la zimamoto, nahisi kuna madudu wamefanya huko Polisi ndio maana nilikuwa nadhani wameondolewa ili kupisha uchunguzi.
Nimtazamo tu.
Nimtazamo tu.