Rais wa Togo yule.... Amejiandaa na speech nzuri na hao kenge wa North hawakuandaa mkalimali. Kamaliza speech then akaitwa Rais wa Benin.. nae ni mtu wa French... Akagoma kutoa speech maana aliona hao Wala githeri hawako serious.
Kasongo fala Sanaa, Yani alivyokuwa anamtambulisha Mzee kwa kumpambaa pambaa na kumjaza bhas akajua Mzee atakuwa bwege ...
M7 ni kichwa sana... Kimoyo moyo alikuwa anacheka tu. Mtoto mdogo kasongo alitaka kumjaza boksi.
Mambo ni mengi hapo... Hawana source ya crude oil hadi Sasa... Huko middle east mambo ya siasa zao na usalama waki import kusafisha Bei itakuwa ghali kuliko kuagiza refined.
Pia hawana power plant, hiyo refinery inahitaji Umeme mkubwaa, kama data center tu iliwashinda hiyo wataweza?
Tatu...
General M7 alipiga kwenye mshono pale pale. Wazee hawanaga unafiki kabisa. Alimchana live.
Sasa hiyo ianze kuwapa uhalisia wa biashara yao hiyo. Kuanzia wapi watanunua mafuta ghafi na wapi watauza mzigo wao. Itabidi wankabidhi Dangote nusu ya nchi kushikilia mtaji wake atakaoweka hapo.
Hahaha... Haya chukueni zote. Na hiyo refinery msije kuinasibisha na Jumuiya ya Afrika Mashariki. Hiyo ni ya lamu kunyaland. Kwishaaa... Mambo ya kutaja East Africa region kwenye hizo ndoto za kitandani hautaki. Na Mzee Museveni aliwaeleza peupe.
Na hakukuwa na muwakilishi mwingine kutoka...
Njozi nyevuu tamu hiii.
Hebu tupatie mchanganuo wa ile asilimia 30 ya hisa kwa nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki zimekwenda vipi? Ni nani na nani wamezichukua?
Ningekuwa najua kusoma kiingereza au sijui kukisoma ningeweza kujisajili hapa na kuchangia mijadala?
Hizo propaganda uchwara ndio zinawazuzua mafala nyie. Hebu tupatie majibu ya ESIA, Feedstock ya refinery, power plant na guaranteed regional financing of that project.
Uganda anapiga electric railway. Tena AREMA standard. Kama ya kwetu hapa Bongo. Hata mobilization ya vifaa vya ujenzi hapo Uganda some of them vinatoka hapa Tanzania kwa sababu Mkandarasi ndio huyo huyo mmoja Mturuki.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.