Recent content by amanison

  1. A

    JamiiForums Waziri Lukuvi tunajua uko hapa Arumeru!, Pls usimwangushe Rais kwani hii ni wilaya yake aliyotuahidia kuitetea kipekee

    Mh.William Lukuvi;tumefarajika kufika Tena Arumeru, ili kuja kubaini na kuondoa "kansa" inayosababisha migogoro sugu na ya muda mrefu ya ardhi ambayo inatishia usalama wa maisha na amani wilayani hapa. Mh.Lukuvi, kwakuwa siyo Mara ya Kwanza kufika hapa,tunaamini unaijua vema migogoro hiyo na...
  2. A

    JamiiForums Rais Magufuli ulituahidi wana-Arumeru kututetea na kutusemea! Tafadhali sema neno uovu na dhuluma hii itakoma!

    Ni matumaini yetu ya kuwa, muda wa haki kutamalaki unawadia
  3. A

    JamiiForums Rais Magufuli ulituahidi wana-Arumeru kututetea na kutusemea! Tafadhali sema neno uovu na dhuluma hii itakoma!

    ..Kiukweli hili Jambo Ni vigumu kulielezea kwa maneno machache. Lakini niseme tu mbunge wa Arumeru amelipigania sana.si hili tu hata na migogoro mingine inayofananafanana na huo. Lakini hatujafanikiwa. .! Kuhusu mweshimiwa Raisi kushindwa, hatudhani hata kidogo! Hatuamini Kama Yuko Raisi ama...
  4. A

    JamiiForums Rais Magufuli ulituahidi wana-Arumeru kututetea na kutusemea! Tafadhali sema neno uovu na dhuluma hii itakoma!

    Mh,Raisi,ulipokuwa wilayani Arumeru kuzindua mradi mkubwa wa maji, ulitamka maneno magumu na mazito kwa akili za wengi kuyaelewa! Lakini kwetu sisi tuliona pengine kilio na machozi yetu ya muda mrefu, ya zaidi ya miaka 26, ya kukandamizwa,kupigwa,kufungwa na kudhulumiwa ardhi yetu yamefika...
  5. A

    JamiiForums Kipindi Cha majilio

    Hiki kipindi Cha majilio kinachotangulia sikukuu ya noeli kina maana gani kwa maisha ya mkristu?!
  6. A

    JamiiForums SUMATRA Arusha, mbona hatuwaelewi au hampo?

    Mbaya zaidi ifikapo jioni panapo abiria wengi vigari Hivyo huidhia Mt.meru ili kuwa trip nyingine. Siku za solo hukatixha ruti pia. USHAURI Tafuteni wakala wa kusimamia usiku.walipwe kwa pesa za faini
  7. A

    JamiiForums SUMATRA Arusha: Mbona mmelala?

    Kumekuwa una tabia za vigari viendavyo Tengeru Usa; Kukatisha ruti na ama kuongeza nauli ifikapo jioni kwa muda mrefu sasa.lakini hakuna ufuatiliaji wowote.Vihyce vingi vya Ngulelo hupakia had Mt meru. Wakati mwingine siku za soko. Hurudia Shangarai nadhani ni muda sasa mtimize wajibu wenu...
  8. A

    JamiiForums Dr. Slaa: Nitapigania maslahi ya Watanzania mpaka mwisho

    Mungu akulinde daima babayetu.tunaamini ulipaswa kuwa raisi wetu awamu inayofuatia.hatahivyo usife moyo. Tunakiombea Mungu ataiwezesha
  9. A

    JamiiForums Mbowe Batilisha Uteuzi Wako wa Fisadi Lowassa. Tunamtaka Dr. Slaa….!

    Tatizo LA sisi wanadamu;tuliikataa nuru tukachagua Giza.tulimkataa mkuu wa uzima tumkamta baraba!!!
  10. A

    JamiiForums Udikteta wa Mbowe: Msuguano Slaa na Mbowe waitikisa CHADEMA, Mafisadi wamteka Mbowe

    Dr. Tunakuamini.tafadhali tuambie nini maono yako
Back
Top Bottom