Kimsingi mimi nililazimika kufungua akaunti NMB kwa sababu taasisi niliyokuwa nafanyia kazi ilikuwa na akaunti NMB hivyo kupata malipo kwetu sisi tuliokuwa benki nyingine ilikuwa shida.
Nilipata uhamisho na kadi yangu ya ATM iliisha muda wake na ikatumwa kwa tawi nililofungulia. Imekuwa...
Show me just what Muhammad brought that was new and there you will find things only evil and inhuman, such as his command to spread by the sword the faith he preached.[5]
Kwa issue ya VAT, mfanyabiashara anakuwa tu "agent " wa TRA ila siyo muathirika wa kodi hiyo. Kimsingi, mlaji wa mwisho ndiyo hubeba mzigo wote wa kodi kwa sbb hana ujanja wa kushift hiyo burden. Mwisho wa mwezi mfanyabiashara hucompute output na input tax na mwisho wake hupata kodi i.e. VAT ya...
People should know that kudeclare mali na madeni kwa watumishi hakujaanza leo. Mwajiriwa yeyote wa Mamlaka hutakiwa kutangaza mali zake pindi akiajiriwa na kila mwisho wa mwaka. Ifahamike pia kwamba assets declaration haimzuii mtumishi kuaccumulate mali maadam amezipata kihalali.
Naamini kutajwa kwa kampuni zilizolipa na zile ambazo hazijalipa lingekuwa jambo jema kwa maana ya uwazi. Pia kwa kufanya hivyo kutazifanya kampuni zenye tabia ya ukwepaji kuacha kwa kuhofu kwamba zitatangazwa kwa umma na hivyo kuharibu image yao.
Tatizo kubwa lililopo ni matumizi ya EFD machines. Kuna scenario mbili; Kukey in amount kidogo ili kuonesha mashine inatumika na kutoitumia kabisa. Tatizo hili litapungua pale ambapo Watanzania i.e. mfanyabiashara na mnunuzi watakapoona na kufahamu umuhimu wa kodi. Ikifikia ikawa fahari kulipa...
Mwaka jana nilinununua tv aina ya Samsung SMART TV UA40F6400 nje ya nchi. Tatizo ambalo limeendelea kunikera na nimeshindwa kulipatia jibu ni ule mkanda unaozunguka ukionesha Smart Hub, Voice Control, Clean View, Social, Dual Core. Mkanda huo huzunguka juu, pembeni na juu. Hali hii wakati...
Leo tulitegemea Mgombea urais wa UKAWA angemwaga vipaumbele vyao lakini imekuwa tofauti na matarajio ya wengi. Kwa mtaji huu, Dr. Magufuli atapata ushindi mzuri tu hapo Oktoba 25, 2015.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.