Recent content by AmaniGK

  1. A

    JamiiForums Tanzania KWELI Picha hii ilipigwa katikakituo cha Zabriskie, Hifadhi ya Taifa ya Bonde la Kifo, California, Marekani

    Based on the distinctive eroded hills and the arid landscape with colorful layers, this picture appears to have been taken in Death Valley National Park, California, USA. The specific area resembles the famous Zabriskie Point, known for its striking geological formations and stunning views...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Lucas Mwashambwa ni mfano bora wa kuigwa!

    Thanks to ChatGPT :) :)
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kutoka Ubalozi hadi mkimbizi wa kisiasa: Rekodi nyingine mpya ya Polepole

    Nahavache sana
  4. A

    JamiiForums Tanzania Kutoka Ubalozi hadi mkimbizi wa kisiasa: Rekodi nyingine mpya ya Polepole

    Mkuu naomba tuwekee mojawapo ya nyuzi ya yaliyotabiriwa
  5. A

    JamiiForums Tanzania Azampesa vs Selcom Pesa. Msaada tafadhali.

    Selcom Pesa wametisha zaidi. Makato nafuu kuliko. Unaweza fanya miamala mitano kwa jero pia Selcom Pesa unapata bank account hapo kwa papo. Kifupi jamaa wameweza sana
  6. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tetesi: Kinondoni patachimbika! Wanaotaka Ubunge kibao, yumo Iddi Azzan, Tarimba na mjukuu wa Bakhresa

    Kabisa huyu naona ana chance kubwa pia kwenye kinyang'anyiro hiki. Wananchi wamemkubali sana
  7. A

    JamiiForums Tanzania Katazo la Bodaboda na Bajaji Dsm litakuja na pointi 3 za mezani

    Kuna Mkutano Chief. Baada ya hapo wataendelea na kazi kama kawa
  8. A

    JamiiForums Tanzania PICHA: Je Unaikumbuka Jambo Forums? Ulikuwa Wapi enzi hizo?

    Naikumbuka sana Jambo . Mijadala mikali, majukwaa mbalimbali na wachangiaji makini. Siwezi kuwa na maneno ya kueleza kwa mengi niliyojifunza wakati ule na hata sasa.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Fahamu matokeo ya meditation

    Namyohorengekyo. Jisomee Lotus Sutra pia ili kujijenga kwenye tajahudi. Faida ni nyingi sana za meditation kuliko tudhaniavyo.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Honest Advice: Its tough out there bro, dont do it, just dont..!

    Umepita muda mrefu sana macho yangu kushuhudia uzi kama huu.Nitausoma tena kuelewa zaidi
  11. A

    JamiiForums Tanzania Huyu Pascal Mayalla huwa mnamuelewa?

    Inabidi kusoma katikati ya mistari. Mara nyingi uwasilishaji wake inahitaji ufunuo wa jicho la tatu.
Back
Top Bottom