Recent content by Amani ya Mungu

  1. Amani ya Mungu

    JamiiForums Tanzania HOJA Changamoto ya Visa ya China Tanzania: Tatizo ni Madalali, Sio Ubalozi

    Kumekuwa na malalamiko mengi kuhusu ugumu wa kupata nafasi ya kuwasilisha maombi ya Visa ya China nchini Tanzania. Watu wengi huilaumu Ubalozi wa China, lakini kwa mtazamo wangu, tatizo kubwa si ubalozi wenyewe, bali ni mtandao wa madalali na watu wa kati ambao wamejijengea mfumo wa kujipatia...
  2. Amani ya Mungu

    JamiiForums Tanzania Ali Kamwe: Hatutacheza mchezo wa kombe la Shirikisho CRDB mpaka tulipwe pesa zetu za Msimu uliopita

    Press ya Yanga muda huu, Pamoja na kuendelea kugomea mechi ya Derby ya Tar 15 June 2025, msemaji amesema hawatacheza mechi ya fainali iwapo hawatalipwa pesa za ushindi wa kombe la CRDB la msimu uliopita. "Hatutacheza mchezo wa kombe la Shirikisho CRDB mpaka tulipwe pesa zetu za Msimu...
  3. Amani ya Mungu

    JamiiForums Tanzania Mtu akiwekewe mafuta taa masikoni ni kweli hufariki papo hapo?

    Si kweli, Wakati nikiwa mtoto, chupa za soda ndio tulikuwa tunanunulia mafuta ya taa kwa ajili ya vibatari. Sasa ndani kulikuwa na kreti za mbao na zina chupa kumbe wakat nachezea kreti nikijua ni tupu na kuliinamisha ili niskie saut ya chupa tupu ile kama filimbi, kumbe mule kuna moja ilikuwa...
  4. Amani ya Mungu

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Huyu ni tapeli wa Kujiaminisha?

    Unaweza kutoa mawazo yako ya namna ya kuwasaidia maana ni wengi. Pamoja na yote bado wanachokifanya ni Utapeli wa kujipatia pesa kwa uongo. Mtu anayepata hela kwa njia hizi hawezi kupata akili ya kuendelea maana anaamini na kesho akiomba atapata.
  5. Amani ya Mungu

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Huyu ni tapeli wa Kujiaminisha?

    Wewe ni mtu wa 7 sasa kumkumbuka mtu yuleyule
  6. Amani ya Mungu

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Huyu ni tapeli wa Kujiaminisha?

    Wanachokifanya watu kama huyu aliyerekodiwa ndio kinasababisha watu wenye uwezo wa kutusaidia wasitusaidie kwa sababu kuna wachache matapeli kama hawa wametuharibia na wote tunaonekana hatusaidiki/matapeli. Huyu anachokifanya ni Uovu, hivyo kuuweka wazi uovu sio jambo baya. Usimtetee. Amani ya...
  7. Amani ya Mungu

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Huyu ni tapeli wa Kujiaminisha?

    Mara nyingi ukitendewa wema na mtu sio rahis sana kurudisha wema kwake isipokuwa cha kufanya tenda wema kwa wengine. Jinsi unavyotamani kumpata na kumshukuru ndivyo Mungu alivyombariki na kufikisha shukrani zako kwake kupitia kwa watu wengine. Amani ya Mungu itawale kwako
  8. Amani ya Mungu

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Huyu ni tapeli wa Kujiaminisha?

    Tusiache kuwasikiliza na kuwasaidia watu wengi wenye uhitaji kwa sababu ya utapeli wa wachache
  9. Amani ya Mungu

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Huyu ni tapeli wa Kujiaminisha?

    Kabisa. Na ajitahidi kuwakumbuka anaowapiga sound
  10. Amani ya Mungu

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Huyu ni tapeli wa Kujiaminisha?

    Atakuwa katumia njia hii kujipatia pesa kwa watu wengi sana na pengine kuna wadau humu wanamjua/wameshakutana nae
  11. Amani ya Mungu

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Huyu ni tapeli wa Kujiaminisha?

    Naomba nikiri hoja yangu imelenga kuleta hoja vijana wajitume na sio kuwa ombaomba ilihali wana nguvu. Mwaka 2023 mwezi wa 5 nikiwa natembea maeneo ya Ubungo jirani na NBC bank alikuja kijana ambaye anaonekana kwenye video hapa na akaniambia yeye ni mwalimu amemaliza SUA na amepata kazi Songwe...
  12. Amani ya Mungu

    JamiiForums Tanzania DOKEZO: Matangazo yanayoingia kwa SMS yatozwe/yaongezewe kodi

    Mengine hata hayaeleweki
  13. Amani ya Mungu

    JamiiForums Tanzania DOKEZO: Matangazo yanayoingia kwa SMS yatozwe/yaongezewe kodi

    Mitandao ya simu imekuwa ikituma matangazo yao mbalimbali kwa njia ya SMS kama vile M-KOBA, SONGESHA, VODABIMA, 15350, VodaTaarifa, Vodacom Ofa, M-PAWA, LipaKwaSimu, TigoPesa, TigoNivushe, 15571, BUSTISHA, TIGOPEKEE na SMS Code zingine. Matangazo haya pamoja na kwamba yanaweza yakawa...
  14. Amani ya Mungu

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu alishawahi kupata hii mikopo ya 10% ya Halmashauri inayotetewa sana na wabunge wa CCM Bungeni?

    https://www.jamiiforums.com/threads/sasa-ni-rahisi-kujisajili-kwenye-vikundi-na-kupata-mikopo-ya-10-ya-halmashauri.2033329/
  15. Amani ya Mungu

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Nahisi nimerogwa

    Kuwa makini sana, unapoelekea atafanya kosa mwingine hapa JF kisha wewe utapigwa ban.
Back
Top Bottom