Recent content by Amani Mrimbo

  1. A

    First appearance

    kumbe we mkali umejuaje kuanzia mie ngeni? Ahsanty
  2. A

    Kesho lazima mimi niandamane kwa sababu zifuatazo...

    siandamani mpaka nijue Wale waliopata division 1, 2,3,4 waziri wao alikuwa nani.
  3. A

    20 Poorest Countries In The World

    per capital ni 1.25?usd huelewi maana ya za kapita!
  4. A

    20 Poorest Countries In The World

    Takwimu za Tanzania zilipelekwa hivi:- -mshahara wa doctor=tsh 800,000/=kwa mwezi. -mshahara wa mwalimu=tsh 200,000/=kwa mwezi -wastani wao=tsh 500,000/=kwa mwezi, ambayo ni =tsh 12,000,000/=kwa mwaka, =$8000 kwa mwaka, ikatuwakilisha watz wote! Therefore we became safe from the bottom 20s.
  5. A

    Matapeli wa kimtandao

    Kama lengo ni watz wote , watz wangapi wanaelewa taratibu za ONLINE? Mhadzape au baluchi?
  6. A

    Kinachotokea zanzibar ni maslahi binafsi ya watu na si udini

    you r superior to whom u ------! U think all non Muslim r degree holders, and all Muslims r std 2 boys. Muslims r fair n confident even spiritally. Aliyesoma mmoja aweza kuwa na Athari kubwa kwa waliosoma 1000 THINK TWICE N COME BACK
  7. A

    Na huu ni ugaidi?

    WEWE, YESU HAKUCHINJWA?kwa imani ya majini gani?
  8. A

    Ukweli wa aina za simu za kichina zitakazozimwa na TCRA mwishoni mwa mwezi December

    Tanzania , kinachotakiwa ni kuanzia sasa simu zinazoitwa FEKI ZISINGIZWE NCHINI, zlizopo zita"expire"zenyewe ! Swali kwa waziri mhusika, simu feki ziliingiaje nchini?
  9. A

    Ukweli wa aina za simu za kichina zitakazozimwa na TCRA mwishoni mwa mwezi December

    WaTanzania hatuwezi kutengeneza hata radio ya MW , au calculator mnasema vya wachina ni FEKI ?hamna aibu!watu wana mia mbili zao kwenye simu hizo msiwasumbue , watanzania kuanzia rais mpaka mtoto aliyzaliwa Leo hakuna anayejua calculator inafanyaje kazi! Zimeni simu mtuachie calculator...
  10. A

    End of the World: Nostradamus 2012, December 21 - Mayan Prophecy

    Hiyo ni kiyama ya wapagani haiachi mwanasiasa wala mwana wa sayansi wote mnakufa
  11. A

    End of the World: Nostradamus 2012, December 21 - Mayan Prophecy

    aelezwe maana ya hoja mbalimbali ; kila hoja inaingia
  12. A

    Pictures: Uwanja wa ndege Songwe - Mbeya waanza kutumika, ndege zaidi ya tatu zatua

    Tz people try to realize yr self! Do u want the J F Kennedy airport at songwe! That will happen only when our shadows start talking.
  13. A

    Sikukuu ya uhuru Tanzania: Una kitu gani cha kumweleza Julius K Nyerere?

    Nitamwambia tumepata uhuru mwingine wa kutukanana kwenye forums. Tarehe haijulikani
  14. A

    Dawa ya ukimwi.

    how can one be careful with our daily vehicles accidents ending in blood mixing?
Back
Top Bottom