Recent content by Amani kwa wote

  1. A

    JamiiForums Tanzania Malalamiko: Kampuni ya Tigo mnakera

    ni kweli kabisa TIGO wameshindwa kazi. Sijui sheria zipoje ili kama kuna uwezekano wa kuwaburuza kortini nifanye hivyo mara moja.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Siasa za udom kuelekea uchaguzi

    tunapenda kuchukua fursa hii kuwahabarisha ya kwamba ndani ya Chuo Kikuu cha Dodoma(UDOM) ktk College ya humanities and Social Science mambo si shwari kwa upande wa siasa za Chuoni. Na hii ni kutokana na uongozi mbovu wa rais Janus Bernad ambaye ktk uongozi wake vitendo vya ufisadi vilitajwa...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko yatarajiwayo - Uongozi CHADEMA 2013

    kikishakufa nae ataenda wap???
  4. A

    JamiiForums Tanzania Juu ya tuhuma kwa Zitto na kundi lake kutoka kwa Mamuya...

    mimi naona zito slaa na mbowe wangetoka tu kwenye hiki chama wote waroho wa madaraka
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kiongozi CUF: Serikali na CCM ndio wanangombanisha Waislam na Wakristu

    sio CCM peke yake hata bakwata nayo inahusika pia kwa udadisi wangu nimegundua kwamba waislamu wengi tena wasomi hawaipendi bakwata wanadai haina jipya la kuwakomboa kama ilivyokuwa zamani chini ya EAMWS
  6. A

    JamiiForums Tanzania Police ndio wanaoanzisha Vurugu kariakoo.

    sio kosa lao wabaya ni hao wenzenu bakwata kukubali kutumiwa na ccm mkitaka mfanikiwe basi hakikisheni bakwata inakufa na mnaanzisha taasisi moja kubwa hao ndio wanafki wenu kazi yao kupiga picha na mafisadi na kuuza viwanja
  7. A

    JamiiForums Tanzania Proper recording: Nini kilimbadili Mzee Mwanakijiji?

    ndio shida ya waandishi wetu wamekubali kutumika
  8. A

    JamiiForums Tanzania Kama Slaa, Migiro, Salim, Lowassa, Shein hawafai kuwa Rais; nani atatufaa 2015?

    ngoja nimpe lipumba labda uchumi utapaa
  9. A

    JamiiForums Tanzania Waislam watishia kuandamana nchi nzima siku ya Ijumaa

    kwa hali hii sijui vyombo vya usalama vinasubiri nini kumuachia Shekh Ponda na wenzake au wanataka vita na waislamu hawajui kama katika nchi hii kuna watu wa dini tofauti sasa iweje Uislamu uwe sababu ya kuingia vitani wenyewe kwa wenyewe
  10. A

    JamiiForums Tanzania Waislam watishia kuandamana nchi nzima siku ya Ijumaa

    sio kauli nzuri hizo ukizingatia lengo letu humu ni moja sidhani kama kuna mafundisho yoyote iwe kipaimara ama ekaristi watu wakafundishwa kutukana imani nyingine na haikutokea enzi za Yesu
  11. A

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya usalama acheni propaganda, Sheikh Farid mlimteka kweli, ushahid huu hapa...

    hebu tazama kwa makini mwenendo wa wachangiaji halafu upime bila upendeleo sikufichi JF imechangia kwa kiasi kikubwa kuenea kwa udini
  12. A

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya usalama acheni propaganda, Sheikh Farid mlimteka kweli, ushahid huu hapa...

    si nilisema jambo linalowahusu UAMSHO watu huliponda ila la CHADEMA mmmmmmh kazi kweli kweli 2015
  13. A

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa, Mbowe na Godbless Lema wakamatwa

    ila wangekuwa uamsho mngelipongeza jeshi la polisi wafuasi wa CHADEMA bana
  14. A

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio wabaya wa waislamu na uislamu wenyewe kwa Tanzania...

    kwenye yale mambo matatu naunga mkono lakini maelezo mengine umetoka nje ya kanuni na maisha ya kiislamu kwa sababu uislamu unatambua haki ya kila mtu awe muslim or not na kama we ni muislamu basi ni lazima ufate mafundisho yako kwani hakuna jambo hata moja ukalitekeleza la dini hususani ya...
  15. A

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waweka bayana msimamo wao juu ya yaliyowasibu ma-Sheikh Ponda na Farid

    danganya toto hiyo CHADEMA hawawezi kuutetea umma wa kiislamu kamwe na ifahamike kwamba uislamu utabaki kulindwa na ALLAH kama alivyoahidi usishangae kuona kitabu chake na mtume wake wanadhalilishwa huo ni mtihani kwa waislamu ili kuona wana iman kiasi gani katika kuitetea na kuipigania dini yao...
Back
Top Bottom