Recent content by Amani Jampion

  1. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini tunalipwa mgao wa shilingi inayoshuka thamani kutoka kwenye migodi yetu badala ya kuchukua dhahabu isiyoshuka thamani?

    Umeleta hoja nzuri na fikirishi ila nahisi mindset zetu haziko sawa
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kuwa makini na Apps za Mikopo

    Shida ya hizi taasisi za kifedha haziaminiki. Binafsi nilikwazwa na Tala. Nikalipa, kumbe hawakopeshi tena. Nimewalipa 360,000 nikitaka nikope 300,000/-. Kuanzia hapo nilikopa branch na L-pesa nami nikawadhurum bora nijiunge na saccoss za mitaani pengine likitokea la kutokea unaweza kupata haki...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Jakaya Kikwete: Msijaribu Kuchanganya Dini na Siasa Hata Kidogo

    Tusimshambulie Kikwete, alicho kinena ana maana kubwa japo amekosea timing. Na penyewe pengine ni sawa kwani angeongea kabla hata tusingelichukulia maanani. Kauli yake inamlenga yeyote iwe kwa makusudi au bila kutarajia siasa kutumika kwenye dini ina matokeo ya aina nyingi. Mheshimiwa Kikwete...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Miezi mitatu tangu nianze kutumia 5G Home Internet ya Voda Supakasi. Hiki ndicho nilichoki-experience so far

    Hivi Voda hawana VOIP? Au mpaka ununue kivyako simu za VOIP?
  5. A

    JamiiForums Tanzania New tecno mobiles needed!

    Wadau wa JF, kwa ma-dealers wa simu, Tecno R5 ama Tecno L7 mojawapo inahitajita. State bei pia!
  6. A

    JamiiForums Tanzania Usb flash 128gb inauzwa

    Unapatikana wapi mkuu?
  7. A

    JamiiForums Tanzania Power Bank needed (Urgently)

    nikuuzie ya kwangu upo Wapi? Bei 75,000/- mwezi tu imetumika
  8. A

    JamiiForums Tanzania Taa ya Solar Wakawaka

    mkuu, ni kweli inaweza kuchaji tablet na bado zipo? Ni pm
  9. A

    JamiiForums Tanzania umeme wa jua kutoka baraka solar specialist

    Licha ya kuwa amerukia, lakini nimependa mchango wake. Hajatumia busara lakini hata wewe unayekosoa chagua lugha nzuri, wote ni watz!
Back
Top Bottom