Habari za Ijumaa,Naomba niwaulize wenzangu,ivi unafanyaje unapokuwa na mwenza wako ambaye haelewi,yaani ulimwengu uko huku na yeye yuko huku?halafu hashauriki kwa maana anajiona yuko sahihi,hana mipango dhabiti,anapanga kutokana na wenzake wanavyopanga,anaweza akaamka kitandani bila mpango...