Recent content by AMAN32

  1. A

    Ajira za electrical engineering

    Postpone, nilikuwa cjaona
  2. A

    Ajira za electrical engineering

    Sua ndipo alipochaguliwa
  3. A

    Msaada wa kufahamishwa kuhusu upatanaji wa ajira kozi ya Electrical Engineering

    Je kuna mtu au pengine wewe umesoma degree ya electrical engineering ukakosa ajira au ukasota mtaan?.Nauliza hivyo kwa maana kuna dogo anataka aende kusoma electrical engineering mwakani mwaka huu alipata agricultural engineering anadai haina ajira, so kapostpond ili aje kuchukua electrical...
  4. A

    Ajira za electrical engineering

    Je kuna mtu au pengine wewe umesoma degree ya electrical engineering ukakosa ajira au ukasota mtaan?.Nauliza hivyo kwa maana kuna dogo anataka aende kusoma electrical engineering mwakani mwaka huu alipata agricultural engineering anadai haina ajira, so kapostpond ili aje kuchukua electrical...
  5. A

    Msaada: wanaojua Linux servers

    Ila nashukuru sana,nimefanikiwa nilichokuwa nakitaka
  6. A

    Msaada: wanaojua Linux servers

    OK thanks,ila vipi kuhusu kutumia bridge network haitasababisha kukosekana kwa network kwenye guest os? Maana kuna sehemu nilisoma wakawa wanasema ni vizur kutumia NAT
  7. A

    Msaada: wanaojua Linux servers

    Habarini wanajamii kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nahitaji msaada kwa yeyote anayejua au mwenye uzoefu na server za Linux.Shida yangu kubwa ni kwamba niinstall Ubuntu server kwenye pc yangu kutumia virtual box shida nahitaji kujua nitapataje IP address ya server yangu n
  8. A

    Pharmacy sells system

    Habari wanajamii Mimi ni mwanafunzi wa mambo ya programming sasa naombeni ushauri nimetengeneza full system ya medical store ambayo unaweza kuuzia dawa Kati ya faida ambazo unaweza kupata katika system hii ni kukusaidia kama duka lako linpata faida au la,kukumbusha kutoa dawa zilo expire.Sasa...
  9. A

    Pharmacy sells system

    Habari wanajamii Mimi ni mwanafunzi katika chuo flan hapa dar es salaam Nimetengeneza software kwa ajili ya duka LA dawa,hii itakusaidia yafuatayo Kama kunadawa ndani ya duka zinakaribia kuisha muda wa matumizi Itakupa taarifa. Kuweza kuelewa thamani halisi ya dawa ulizo nazo ndani ya duka...
  10. A

    Tanzania ishakuwa nchi ya viwanda

    Ile motisha serikali inayotoa kwa wananchi kuwa Tanzania ya viwanda ndio inawasukuma pia kufanya na kubuni zaidi
  11. A

    Hii ndio DIT mliochaguliwa pale komaeni

    Zimefanywa na mwanafunzi wa kike wa computer engineering mwaka was pili. So mjiandae kusolve changamoto za kidunia karibuni Dit
  12. A

    Tanzania ishakuwa nchi ya viwanda

    Sasa huwezi kwenda kimataifa kama pia hujafanya kitaifa
  13. A

    Tanzania ishakuwa nchi ya viwanda

    Mbona hatujawahi kuona hayo mafriji ya mafuta ya taa.msipende kubeza boo
  14. A

    Tanzania ishakuwa nchi ya viwanda

    Habari zenu wanajamii, kuna baadhi ya watu hubeza juhudi za serikali ya awamu ya tano ambayo no ya viwanda,lakini kimsingi tumepiga hatua sana tazama hiyo machine iliyotengenezwa na watanzania,wale wanaoendelea kubeza shauri zao ila sisi tunasonga mbele Note: mods msibadilishe content ya thread...
Back
Top Bottom