Recent content by Aman bigili Mahellah

  1. A

    JamiiForums Tanzania Jinsi Rais Magufuli anavyowanyoosha Wazungu, Vibaraka wao wahaha kila kona

    Niandike na Mimi kwenye orodha hiyo ya vibaraka, Ukosoaji upo kila mahali, Hapo ndipo mnapo nishangaza watanzania, Mkosoaji kuitwa kibaraka, Kumbuka hata wewe bado tuanaamini kuwa ni kibaraka na unatumika kwa upande huo uliko, kibaraka siyo lazima awe yule anayetumiwa na watu wa nje tuuuuu
  2. A

    JamiiForums Tanzania Jinsi Rais Magufuli anavyowanyoosha Wazungu, Vibaraka wao wahaha kila kona

    Hana nguvu hiyo ukitaka kujua hayo kamuulize Mugabe
  3. A

    JamiiForums Tanzania Zitto na Fatma Karume wanaunga mkono tamko la EU na wameshiriki kulisambaza

    Hatutaki dicteter ship acheni mambo ya yoga,yapo mambo yatabaki kuwa chukizo, Hakuna mtu anyependa kuishi gerezani kama mhalifu, halafu mtu mwingine anasimama kujisifia kwenye majukwaa na kujisifia, kuwafanyia wenzake hayo
  4. A

    JamiiForums Tanzania Dhambi ya Membe ni kulishwa maneno, CCM tuisome tena katiba yetu na kuielewa

    Katiba ya CCM haimzuoii Membe kugombea
  5. A

    JamiiForums Tanzania Watanzania wana uelewa mdogo kuhusu Pension Fund, 25% ni maamuzi sahihi

    Siamini hata kidogo kuwa mtu unakuwa mtumishi kwa miaka 60 halafu unastaafu huku hujui matumizi ya hela tena za kwako, Kitendo tunachofanyiwa ni dharau,
  6. A

    JamiiForums Tanzania Askofu Himidi Sanga(Iringa): Waraka utakaosomwa Makanisani siku ya Pasaka ni wa kitume

    Lakini hata watawala hawakuambiwa,kukandamiza wengine au waue watu
  7. A

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya dini inavyojipotezea heshima nchini Tanzania!

    Hawa watu wanao wachafua maaskofu wanasali wapi ? Kwa nini wachungaji wasiwatenge waende wakasali CCM ?
  8. A

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mwandishi wa habari Nana Mollel afariki dunia

    R.I.P. our dear sister
  9. A

    JamiiForums Tanzania Mchuma Janga hula na wakwao" Sugu anaozea jela vijana wa BAVICHA waliokuwa wakimpa kichwa wako kimya

    Ungependa wakapigane hao vijana, ili wauawe?
  10. A

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Abdul Nondo alijiteka na kujisafirisha mwenyewe mpaka Iringa. Ladai alifuata mapenzi

    Nondo mbona hapewi nafasi ya kusema alivyo jiteka, hivi yule alikutwa kwenye nyumba ya kuhifadhia maiti (Mortuary) naye alijiteka !!!!!
  11. A

    JamiiForums Tanzania Gazeti hili hawana habari nyingine zaidi ya hii siku mbili mfululizo?

    Ukitaka waandike unachokitaka, wausifie Ufalme wako anzisha gazeti lako
  12. A

    JamiiForums Tanzania Jicho la mwewe lamnanga Zitto ...yeye auchuna!

    Hakuna shule isiyo na msongamano Tanzania sijui hata kama Zitto anao week wa kutoa fedha kwa shule zote zilizoko shuleni Hata ukienda kwa Waziri mkuu tatizo hilo lipo, Clouds toka wavamiwe wana matatizo ukiangali na kuwachunguza kwa mbaaaaaali,utayaona !!!!
  13. A

    JamiiForums Tanzania Magufuli siyo sawa na Mubarak wala Gadaffi

    Ndani ya nchi hii hakuna siku kura ya mwananchi wa kawaida itatakapo fikia inamuweka madarakani RAIS kwa mifumo ya uchaguzi iliyopo, Kwa kuwa wasimamizi wa uchaguzi wote ni wateule wa Raisi hata ungekuwa wewe au Mimi siwezi kukuteua kama Mkurugenzi, nikakupa mamlaka ya kusimamia kura zinazo...
Back
Top Bottom