Recent content by amaking crazy

  1. amaking crazy

    BIMA (INSURANCE): Uliza chochote kuhusu biashara ya Bima

    Nowdays mabenki pia yamejikita katika uuzaji wa insurance products mfano kama vile CRDB kushirikiana na kampuni mbali mbali za BIMA kama vile SANLAM jubilee britam NIC na wengne wameingia ubia kuuza Bima hii kitu tunaita BANCASSURANCE yaani uuzaji wa Bima kupitia Mabenki
  2. amaking crazy

    BIMA (INSURANCE): Uliza chochote kuhusu biashara ya Bima

    Uliandika hii kitu mwaka 2014 lakini Leo hii 2022 mwanafunzi ninaesomea insurance and Risk management mwaka wa 3 naipitia hii na imeniongezea kitu kichwani..... Asante sana mkuu #mtazamo
  3. amaking crazy

    Simulizi: Milango ya mafanikio

    Asante ndugu [emoji1666][emoji1666]
  4. amaking crazy

    Simulizi: Milango ya mafanikio

    Tunasubiri mkuu[emoji1666]
  5. amaking crazy

    Simulizi: Milango ya mafanikio

    Unadhabi wote hawana kazi za kufanya kama wewe [emoji36] Afuu hii ni burudani Wala hatumlipi anafanya kwa upendo tuu ashakwambia ana majukumu kibao Kaa kwa kutulia [emoji706][emoji706]
  6. amaking crazy

    Nilikuwa nacheki bongo movie kupitia Azam, ni fedheha sana

    Wewe yesu ulimwona wapi akiwa na hizo kobazi [emoji848][emoji848][emoji848]
  7. amaking crazy

    Simulizi: Milango ya mafanikio

    Jack Daniel [emoji174][emoji17][emoji17] Arosto Huku
Back
Top Bottom