Kinachomsumbua na kumfanya Lowassa anuke kisiasa, si ufisadi wa Richmond. Ni mzimu wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere. Ufisadi huu wa Richmond ni cha mtoto, ni sawa na tone la maji ndani ya Bahari. Ndiyo maana alijaribiwa kupewa uwaziri mkuu ukamshinda kwa sababu ya mzimu huo wa Mwalimu...
Yericko anahitaji kuelimishwa, maana hata huko Kalenga kwenye Makumbusho ya Mkwawa hajawahi kufika, na wala hajui Kalenga kijiografia iko wapi katika nchi hii. Aelimishwe tu!
Wakati mwingine, Watanzania tunajirudisha nyuma wenyewe. Azimio la Arusha lilitaifisha majumba yote hayo ya kina Remtula na Patel na kuwafanya kina Dewji waogope kujenga tena nyumba. Bwana Msajili wa Nyumba aliyekabidhiwa nyumba hizo za kina Remtula na Patel, akashindwa kujenga nyumba mpya...
Eneo la Tunduru liko katika mpaka wa Tanzania na Zambia. Wakati bei elikezi ya mafuta aina ya petroli iliyotangazwa na Ewura hivi karibuni katika vituo vyote vya mafuta nchini ni kati ya Sh 1,700 na 1,800 kwa lita, kwa Tunduru mambo ni tofauti. Karibu vituo vyote vya mafuta katika eneo hilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.