Tanesco's problem are deep rooted into mismanagement. The current problems are a result of years of neglect up to lower levels. Electric installations are shoddy, materials are stolen or misplaced. The result is constant power disconnections which lead to lower revenue collections -this is all a...
CS series zinazotengenezwa sasa hivi zipo kwenye class tofauti kabisa na Boeing Max. Ni ndege ndogo zaidi. CS500 ambayo bado ipo kwenye makaratasi na uwezekano wa kuitengeneza ni mdogo kwa sasa kwasababu ya ukata wa Bombardier ndiyo itakuwa kwenye class ya Boeing 738 max. lakini kumbuka kuwa...
ATCL wana business strategy ipi? Mashirika ya ndege hununua ndege kuendana na strategy zao. Je tunataka ATCL iwe ni domestic carrier? Iunganishe mikoa na wilaya zetu? Kazi ambayo inayofanywa na PrecisionAir vizuri. Tungependa ATCL iwe regional carrier? Au tunataka mkakati wetu wa ATCL uendane...
Mimi ni mwanachama wa JF tangu 2006 hivi (kama sijakosea), si mchangiaji sana wa jukwaa hili. Lakini hili limenigusa na nimeone napaswa kuchangia. Mwenzetu huyu angekuwa anatuma pesa ya faini mahakamani basi ndiyo kifungo hicho, kwasababu ya uzembe wa mpesa. Kutokana na umuhimu wa sekta hii...
whilst I am not the spokesperson of fastjet, I would like to warn all those who travel with LCCs that these companies make profits from 1) no frills services,2) lighter aircraft by being strict on luggage, filling aircraft with the fuel at the best take off weight possible (therefore save fuel)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.