M-pesa imenisababisha nifukuzwe na mama mwenye nyumba siitaki tena

M

master eagle

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Messages
343
Likes
3
Points
0
M

master eagle

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2013
343 3 0
Ni jambo la kusikitisha sana kuona unafukuzwa nyumba ya kupanga si kwamba huna hela ya pango bali ni uzembe tu wa vodacom kutotoabtaarifa kwa wateja wake kwamba huduma yao ya mpesa haipo hewani kwa takribani siku mbili au tatu.
Jamani yamenikuta mm nipo safarin kikazi nikawa nimetuma laki tisa kwa mke wangu tangu jana alipe kodi ya nyumba chaajabu hawa vodacom paka leo wameshindwa kurekebisha udhaifu wao wa mtandao wao na kusababisha usumbusfu wa kina sana kwetu.kinachoniuma ni pale mama mwenye nyumba kutonielewa na kuamuru nihame nami siko nyumbani.na hela yangu iko kwa simu tayari nashindwa kutoa wala kutuma.
Naamini tatizo kama hili voda si la bahati mbaya walipaswa kutuambia mapema kabla hatujaweka pesa zetu huu ni ubabaishaji wa hali ya juu na napata shakavpengine portifolio yao ipo down sana na wamekuja na kisingizio cha mtandao.nawaambia voda nikitoabtu hela yangu mnikome kama mlivyokoma nawapa taraka kwann hamjifunzi toka tigo na wengineo.MNABOA SANA KAMPUNI IMEWASHINDA HII WAPENI WANAYOIWEZA
 
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
61,164
Likes
28,944
Points
280
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
61,164 28,944 280
Pole sana. Inaumiza roho sana.
 
Heaven on Earth

Heaven on Earth

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2013
Messages
37,147
Likes
5,604
Points
280
Heaven on Earth

Heaven on Earth

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2013
37,147 5,604 280
hamia ule mtandao mwingine wanaosema hakatwi mtu

au nako kuna majnga kama haya
 
M

master eagle

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Messages
343
Likes
3
Points
0
M

master eagle

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2013
343 3 0
Last edited by a moderator:
MKATA KIU

MKATA KIU

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Messages
2,163
Likes
1,005
Points
280
MKATA KIU

MKATA KIU

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2010
2,163 1,005 280
Huyo mama mwenye nyumba nae sio muungwana, siku mbili tu akupe notisi..

Na wewe pia sio muungwana, kama unaendelea kuishi kwa nini kodi ya nyumba usitoe mapema kabla mkataba haujaisha..
 
M

Misa

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2013
Messages
834
Likes
6
Points
35
M

Misa

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2013
834 6 35
Ni jambo la kusikitisha sana kuona unafukuzwa nyumba ya kupanga si kwamba huna hela ya pango bali ni uzembe tu wa vodacom kutotoabtaarifa kwa wateja wake kwamba huduma yao ya mpesa haipo hewani kwa takribani siku mbili au tatu.
Jamani yamenikuta mm nipo safarin kikazi nikawa nimetuma laki tisa kwa mke wangu tangu jana alipe kodi ya nyumba chaajabu hawa vodacom paka leo wameshindwa kurekebisha udhaifu wao wa mtandao wao na kusababisha usumbusfu wa kina sana kwetu.kinachoniuma ni pale mama mwenye nyumba kutonielewa na kuamuru nihame nami siko nyumbani.na hela yangu iko kwa simu tayari nashindwa kutoa wala kutuma.
Naamini tatizo kama hili voda si la bahati mbaya walipaswa kutuambia mapema kabla hatujaweka pesa zetu huu ni ubabaishaji wa hali ya juu na napata shakavpengine portifolio yao ipo down sana na wamekuja na kisingizio cha mtandao.nawaambia voda nikitoabtu hela yangu mnikome kama mlivyokoma nawapa taraka kwann hamjifunzi toka tigo na wengineo.MNABOA SANA KAMPUNI IMEWASHINDA HII WAPENI WANAYOIWEZA
Voda ni ya wakubwa wa CCm mnategemea nini kwani?
 
charty

charty

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2013
Messages
7,161
Likes
3,146
Points
280
Age
27
charty

charty

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2013
7,161 3,146 280
Voda ni ya wakubwa wa CCm mnategemea nini kwani?
Hahaha ww jamaa una bifu na ccm cjui wamekufanyia nn kibaya saaana!anywyz pole mkuu kwa majanga ongea tu vzur na landlord mama mwenye nyumba atakuelewa tuu!!
 
K

kapuyanga mkware

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2013
Messages
589
Likes
7
Points
0
K

kapuyanga mkware

JF-Expert Member
Joined Nov 16, 2013
589 7 0
Usitudanganye hapa. kodi ya nyumba inalipwa tar ngapi. umemkopa mama wa watu sana. anza
 
chakii

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Messages
17,021
Likes
14,890
Points
280
chakii

chakii

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2013
17,021 14,890 280
mkuu sidhani kama delay ya muda mfupi hivyo inapelekea wewe kufukuzwa kama mbwa,.

Jaribu kuweka mambo yako sawa na mama mwenye nyumba inaelekea hamuelewani maana kama mngekuwa mnaelewana vizuri ungemuelezea tatizo lako na angekuelewa bila shaka,.
 
Jerrymsigwa

Jerrymsigwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Messages
13,994
Likes
4,456
Points
280
Jerrymsigwa

Jerrymsigwa

JF-Expert Member
Joined Jun 23, 2012
13,994 4,456 280
Weka autopay bank acc yako na acc ya mwenye nyumba. Kila mwezi inajilipa yenyewe huna haja ya kuhangaika
 
idawa

idawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Messages
20,877
Likes
16,438
Points
280
idawa

idawa

JF-Expert Member
Joined Jan 20, 2012
20,877 16,438 280
Hahaha ww jamaa una bifu na ccm cjui wamekufanyia nn kibaya saaana!anywyz pole mkuu kwa majanga ongea tu vzur na landlord mama mwenye nyumba atakuelewa tuu!!
mkuu jitaidi kurekebisha uandishi wako haueleweki.!
 
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Messages
47,712
Likes
3,377
Points
280
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2010
47,712 3,377 280
Ndio maana rafiki zetu wa benki bado wanatusihi tutumie huduma zao...
 
M

master eagle

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Messages
343
Likes
3
Points
0
M

master eagle

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2013
343 3 0
Usitudanganye hapa. kodi ya nyumba inalipwa tar ngapi. umemkopa mama wa watu sana. anza
Wewe ---- kama hujui unachokisema kaa kimya ungekuwa karibu ungeonja utamu wa risasi haki ya mungu.unaniletea hoja za kinana hapa wakati am serious
 
Sanoyet

Sanoyet

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2013
Messages
1,326
Likes
55
Points
145
Age
36
Sanoyet

Sanoyet

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2013
1,326 55 145
Pole sana,wahanga wa hizi huduma ni wengi sana,cjui sisi wa huku shamba ambako hakuna benki tulie kilio gani! Wakombozi wetu m-pesa,airtel-money na tigo-pesa ndio hao wameingia ubia wa ubabaishaji na ccm.
 
Baraka Roman

Baraka Roman

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2013
Messages
694
Likes
8
Points
0
Baraka Roman

Baraka Roman

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2013
694 8 0
Huyo mama mwenye nyumba nae sio muungwana, siku mbili tu akupe notisi..

Na wewe pia sio muungwana, kama unaendelea kuishi kwa nini kodi ya nyumba usitoe mapema kabla mkataba haujaisha..
Huwez mlaumu jamaa kwasababu hatujui yupo safarini kwa muda gani?,pili huenda huko safarini ndo kumempa hela,Tatu hizo huduma za pesa kwa njia ya mtandao walizileta ili kuharakisha mambo.Mama mwenye nyumba ndo kakosa busara

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
A

alyusuph

Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
9
Likes
3
Points
5
A

alyusuph

Member
Joined Mar 7, 2006
9 3 5
Mimi ni mwanachama wa JF tangu 2006 hivi (kama sijakosea), si mchangiaji sana wa jukwaa hili. Lakini hili limenigusa na nimeone napaswa kuchangia. Mwenzetu huyu angekuwa anatuma pesa ya faini mahakamani basi ndiyo kifungo hicho, kwasababu ya uzembe wa mpesa. Kutokana na umuhimu wa sekta hii kwa uchumi wa taifa, benki kuu na TCRA wanapaswa kuweka SLAs ambazi zikikiukwa tu basi hawa jamaa wanapaswa kulipa fidia ya asilimia fulani ya pesa za wateja wanazozihodhi kutokana na uzembe wao. Katika dunia yetu hii ya pesa za kidijitali, Hawa jamaa wakiachiwa wanaweza kutengeneza mabilioni ya fedha kwa kucheza na pesa za watu kwa masaa machache tu. Kwa wale mliopo Benki Kuu tuelezeni kama Standard SLA zipo. Na kama zipo tunaomba zisambazwe wananchi wajue haki zao
 
Mshomba

Mshomba

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2013
Messages
1,629
Likes
207
Points
160
Mshomba

Mshomba

JF-Expert Member
Joined Apr 7, 2013
1,629 207 160
Pole sana mdau pia hilo swala limenikumba hii leo asubuhi nimemtumia mdogo wangu akalipie matibabu na mpaka muda huu hela hajaipata na sijui nini cha kufanya maana ni fedha nyingi jamani
 
T

Ta Nanka

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2013
Messages
322
Likes
145
Points
60
T

Ta Nanka

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2013
322 145 60
Ni jambo la kusikitisha sana kuona unafukuzwa nyumba ya kupanga si kwamba huna hela ya pango bali ni uzembe tu wa vodacom kutotoabtaarifa kwa wateja wake kwamba huduma yao ya mpesa haipo hewani kwa takribani siku mbili au tatu.
Jamani yamenikuta mm nipo safarin kikazi nikawa nimetuma laki tisa kwa mke wangu tangu jana alipe kodi ya nyumba chaajabu hawa vodacom paka leo wameshindwa kurekebisha udhaifu wao wa mtandao wao na kusababisha usumbusfu wa kina sana kwetu.kinachoniuma ni pale mama mwenye nyumba kutonielewa na kuamuru nihame nami siko nyumbani.na hela yangu iko kwa simu tayari nashindwa kutoa wala kutuma.
Naamini tatizo kama hili voda si la bahati mbaya walipaswa kutuambia mapema kabla hatujaweka pesa zetu huu ni ubabaishaji wa hali ya juu na napata shakavpengine portifolio yao ipo down sana na wamekuja na kisingizio cha mtandao.nawaambia voda nikitoabtu hela yangu mnikome kama mlivyokoma nawapa taraka kwann hamjifunzi toka tigo na wengineo.MNABOA SANA KAMPUNI IMEWASHINDA HII WAPENI WANAYOIWEZA
Pole mkuu. Hii ndo Tz!
 
Forum statistics

Threads 1,249,419
Members 480,661
Posts 29,697,651