Recent content by Alymansury

  1. Alymansury

    Kuishi na ndugu nyumba moja kunasababisha nashindwa kujiachia na mke wangu

    95% Warabu na wahindi wanaishi na familia zao na huoni wake zao kugombana na wakwe zao wanawaheshimu hata kwa hali Yoyote na wanakubali lawama ttzo lipo kwetu waswahili hatuna uvumilivu na wake zetu hawana uvumilivu akilaumiwa kidgo na mkwee wake basi usiku akija mume hapatishi
  2. Alymansury

    DOKEZO Mawasiliano na TAKUKURU

    Tatizo Sisi wabongo hatujuwi sheria ndio mana tunatapeliwa sana sasa Kama nimepanga nyumba haina chumba za kumwaga maji ndani nimwage wapi Kama sio njee hizi ni kesi za kuwarushia wenye nyumba ili wajengne chemba sii tunakupa kodi zao
  3. Alymansury

    Simba na Yanga ni ngao ya kupumbaza wananchi wasifuatilie mambo muhimu ya nchi

    Asantee mkuu hapa sijaona kasoro ndio mana umeelewa nilichomanisha Ila Kama ningeandika maombi ya kazi ningekesha kuirudia barua yangu
  4. Alymansury

    Simba na Yanga ni ngao ya kupumbaza wananchi wasifuatilie mambo muhimu ya nchi

    Mkuu Kama wewe hupo serikalini basi fanya juhudi na kizazi chako kijeekuingia serikalini na Kama wewe sio mchezaji wa mpira basi fanya juhudi kizazi chako kiingie kwenye timu za mpira afu ndio utajuwa kwann watanznia tumekua wajinga na haya mambo kwa saiv ni mabaya haya kwa sababu wanaofanya...
  5. Alymansury

    Nilivyoumbuka kwenye swimming pool

    Duuh! Hakika Mungu anakupenda na inakulazimu ukatoe sadaka tu Maji ya bahari ama swimming ukienda chini mara 3 basi huwezi kuwa hai tena Majii baridii ya swimming ni hatari zaid kuwa kuliko maji bahari Shukuru mungu mungu
  6. Alymansury

    Wanaume nijibuni swali hili kwa dhati ya mioyo yenu. Unapata nini katika ndoa ambacho mwanaume aliye single hapati?

    Kwanza ni baraka Za Allah kwajili ya ndoa Pili mkee hana mashari ya time Mkee atakusaidia kwenye shida na raha Mkee anatunza Baker ya kufika malengo
  7. Alymansury

    MSAADA: Tatizo ni meno kuwa na rangi nyeusi (Meno 🦷)

    Me nahisi hayo ndio maumbile yako na hakuna aibu Kama umeumbwa hivyo hata ukaimuwa kufanya tiba bado ttzo lotarudi tu Really me naweza maliza week 1 au zaid bila kupiga mswaki na meno bado yako safi wala kinywa hakitoi harufu coz sijapata lalamiko lolotekwa wafu so piga mwaki tu inatosha mungu...
  8. Alymansury

    Nahisi ex wangu alinipa limbwata

    Tafuta mwanamke mzurii zaid yake afu ustasahau
  9. Alymansury

    Zanzibar yakabidhiwa takwimu za uchimbaji mafuta, gesi

    Kama wewe uko Tanzania bara beba mzigo uendee zanbr afu mzigo huohuo rudii nao bara afu uone pale banadari
  10. Alymansury

    Zanzibar yakabidhiwa takwimu za uchimbaji mafuta, gesi

    Kwahiyo ndio mana wazanbr wakija na biashara Tanzania bara wanalipa kodi ila Tanzania bara wakipeleka biashara zanbr free Ndio mana zanzibar mtu akija na gari lake kutembea nalo Tanzania bara wanalipa kodi kubwa ila mkenya,Zambia na nch jirani wanaingia kwa kodi ndogo Kama kwao
Back
Top Bottom