Mimi binafsi sioni Tatizo kwenye hoja za Prof. Shivji.
Ukiwa kaka mkubwa hutakiwi kulilia pipi Sawa na wadogo zako.
Tanganyika ni Sawa na kaka mkubwa, Kama ilivyokua England kwenye United Kingdom.
vinchi vidogo vote kwa kuogopa kumezwa na England, walipigania devolution, na kupewa Mabunge...