Alwatan
JF-Expert Member
- May 19, 2009
- 409
- 129
Mimi binafsi sioni Tatizo kwenye hoja za Prof. Shivji.
Ukiwa kaka mkubwa hutakiwi kulilia pipi Sawa na wadogo zako.
Tanganyika ni Sawa na kaka mkubwa, Kama ilivyokua England kwenye United Kingdom.
vinchi vidogo vote kwa kuogopa kumezwa na England, walipigania devolution, na kupewa Mabunge Yao, bendera zao, Alama zao za utaifa, timu zao za taifa, wimbo wa taifa pamoja na katiba zao, kasoro England tu Ndio inatumia bendera ya union jack na serikali United Kingdom, Hakuna serikali ya England.
Nchi zote nyingine Kama Wales, Scotland, na Northern Ireland wana hivyo vitu vya utaifa. Na wana First ministers ambao Kama Scotland anateua cabinet yake na wanakua na Bunge Lao wao tu, na Huku baadhi Yao wanaingia Bunge la U.K na kuwatungia sheria wananchi wa England.
kwa Kiasi Kama Zanzibar na Tanzania.
kifupi U.K Nako wana mambo ya Muungano na yasiyokua ya Muungano. Ingawa England kutokana na ukubwa na world position yake, hagombei nayeye kupewa serikali yake. Mambo mengine ni kujishusha kutaka kugombea pipi na mdogo wetu wa mwisho anayelialia kila kukicha nchi ya Zanzibar.