Kuna silaha ambayo haihitaji bunduki, risasi wala mabomu ili kuligawa taifa. Silaha hiyo ni propaganda—hasa propaganda inayolenga kuwafanya wananchi waamini kwamba tofauti zao ni sababu ya kuchukiana.
Watanzania tunapaswa kuwa makini.Mara nyingi propaganda ya mgawanyiko haiji kwa kusema wazi...
Si kila gari linapopata pancha linapaswa kurudi lilipotoka. Wakati mwingine kinachohitajika ni kusimama kidogo, kubadilisha tairi na kuendelea na safari.
Maishani, kuna nyakati watu hubadilika, nafasi hubadilika na majukumu hubadilika. Mwenye hekima haangalii kilichobadilika pekee, bali...
Hakika watu wa kale walipata kunena kwamba "Mti mrefu haukosi upepo" - ikiwa na maana kwamba, mtu anayefanya vizuri hukutana na maneno mengi ya ukinzani na nongwa.
Mfano huo naweza kuutumia kwa namna ambavyo baadha ya vikundi maalumu vya watu waliojipanga katika kudogodosha,kuchafua...
*
Kizimkazi Festival 2026 imeendelea kuthibitisha kwamba tamasha linaweza kuwa zaidi ya burudani. Ni jukwaa la kuunganisha utamaduni, utalii, uwekezaji, biashara na maendeleo ya wananchi. Likibeba kaulimbiu “Kizimkazi Kumenoga!”, tamasha la mwaka huu limekuja katika wakati muhimu wa kuonyesha...
Rais Mh.Dr.John Pombe Magufuli ametoa Shilingi Milioni 340 kwa ajili ya kukarabati mradi mkubwa wa maji safi na salama utakaohudumia vijijini vinne kwenye Kata ya Rutamba Wilayani Lindi.
Ukarabati huo utahusisha ujenzi wa matanki mapya wawili yenye ujazo wa Lita laki moja kila moja...
Introvert ni kujiendekeza tu ,ubinafsi na uchoyo.Badilikeni.Hakuna binadamu asiyependa privacy kukaa peke yake lakini nyir mmeenda extra mile acheni kujiendekeza mtakosa kuzikwa how come unajifungia ndani chumbani hupokei simu wala kupigiwa simu mtajikuta mmekufa Hadi mmeoz majirani hawajui...
USALITI, UNAFIKI NA UTAPELI UNAMWISHO.
Nilijua iko siku vijana wa CHADEMA watagundua ni kiasi gani wanadanganywa na uongozi wao wa juu wa chama hasa MH. MWENYEKITI WA KUDUM.
Hivi kwa akili ya kawada umewahi kujiuliza ww kama mwanachama wa CHADEMA.
1. Kwann wabunge wote wajitolee kila mwezi...
Kuwa mpinzani ni sawa na kuvaa nguo nyeupe , DOA likigusa tuuuu ni balaaa .Ni kweli wakuu fedha zimepigwa, zaidi ya 1.9 Bilioni.
Wakuu ni hivi jumla ya Tsh 1.9 Bilioni, Zimekwapuliwa kwenye account ya Chama, (CHADEMA) Miezi kadhaa iliyopita.
Toka jana Chama kimeshindwa kujenga hoja kabisa juu...
1.Baa medi na mademu unaokutana nao club
2.Mama Ntilie
3.Wanafunzi wa vyuo
4.Demu uliyekosea namba
5.Demu mliyekutana katika mitandao ya kijamii
6.Demu wa saluni
7.Demu wa rafiki yako.
8.Mpangaji mwenzako
9.Mfanyakazi mwenzako
10.Demu yoyote atakayejipendekeza we lamba tu.
Ukifikisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.