Recent content by Alvira

  1. A

    JamiiForums Tanzania Kisarawe Cement Company

    Ok. Thanks
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kisarawe Cement Company

    Habari zenu wakuu.. Nilikua nauliza mwenye taarifa yoyote kuhusiana na hiki kiwanda cha saruji kama kimeanza kazi, na vipi kuhusu ajira zao?
  3. A

    JamiiForums Tanzania Jamani kuna watu nawaheshimu humu MMU...wacha kabisaa!

    Umemsahau mwanamalundi jaman.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumwita jini na kumuamrisha unavyotaka awe rafiki, mpenzi au msaidizi

    Mcheza karate. Vipi kuhusu kumfukuza jini mahaba akae mbali na wewe' unatakiwa usome aya zipi, au useme maneno gani ili asikujie? Pia ukishatoka huyo jini mahaba utakuwa na uwezo wa kushiriki tendo la ndoa na kusikia raha? Maana nasikia ukiwa na jini mahaba hujisikii kabisa kufanya tendo la...
  5. A

    JamiiForums Tanzania malavidavi hadi kwenye dala dala

    Cjakuelewa kabisa... Nyoosha maelezo yako Kivipi sasa hayo malavi davi kwenye daladala?
  6. A

    JamiiForums Tanzania Maneno mapya ndani ya mmu yamkosha wife na kunogesha penzi

    Hahahahaha... Umetisha kaka gegedu..
  7. A

    JamiiForums Tanzania Niliambukizwa HIV na mtu niliyemwamini!

    Duuh..!! Pole jaman.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Ushostito kazi kweeli kweli nisaidieni mawazo waungwana wenzangu

    Tupa kule,, co ndugu yako huyo asikubabaisha babu eeeh..!! Khaa..
  9. A

    JamiiForums Tanzania Hellow wana JF.. Nipokeeni mgeni wenu.

    Jamani asanteni wote,, mu wakarimu sana wenyeji wangu.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Hellow wana JF.. Nipokeeni mgeni wenu.

    Asante sana
  11. A

    JamiiForums Tanzania Hellow wana JF.. Nipokeeni mgeni wenu.

    Asante
  12. A

    JamiiForums Tanzania Hellow wana JF.. Nipokeeni mgeni wenu.

    Habari zenu jamani.. Wazima nyie? Naomba mnikaribishe wana GREAT THINKERS.
Back
Top Bottom