Recent content by alvin godfrey

  1. A

    Ukimya wa rais unatia shaka

    cag hayupo kwenye mapendekezo ya bunge.cag aliyekuwepo mda wake umeisha ndo maana kateuliwa juma assad ko bado hajafanya lolote katika maazimio.ucjbu bila kuelewa swali! sawa!
  2. A

    Ukimya wa rais unatia shaka

    kwan ww unamuelewa na nan mbona nawe umewasemea wenzako. hta hvo angeonyesha hta kush2shwa na hli jambo ka anajali!
  3. A

    Unajua kwanini Mwakyembe alikaa kimya?

    nan ndugu ake kamuweka kwenyeshirika lilochin ake?
  4. A

    Zanzibar kufanya maandamano makubwa dhidi ya wizi wa escrow account!

    dah ukiona hujui k2 kiache usicomment.huu ni umbumbumbu ulioudhirisha mwenyewe kuuliza et zanzibar ni sehemu ya tanzania.hta kama una elimu kama ya lusinde co ivo.pole xana
  5. A

    Prof. Tibaijuka: Nijiuzulu kwa lipi?

    ko ina maana wabunge wote ni wajinga?
  6. A

    Wabunge wa Kamati ya PAC Wachukuliwe Hatua Kali za Kisheria

    kwanza hawakukubali wote ila wengi walisema ndio lakn hata sio walikuwepo.na maazimio ya jana mbona maswi katajwa kuwa moja kat ya watu wanaotakiwa kuwajibishwa.ila pole xana nadhan una akili ndogo kuliko ya lusinde nd asumpte.ucdhalilishe wanawake wenzio.maana hta ccm unaowatetea wameazimia ivo...
  7. A

    Yaliyojiri Bungeni: Jumamosi, 29 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    ulichosema ni kwel kabxa pinda alitakiwa kuwajibishwa kwa kosa la kusema pesa si za umma na sio kuwa fisadi katika hili nimekuona una busara.ila busara yako imepotea kwa kutukana
  8. A

    Rais Kikwete na waziri mkuu Pinda ndio walipaswa kuwajibika kwanza

    tatizo mnaona halafu najifanya humuoni.ndo maana wanasema ni ngumu kumuamsha m2 anayejifanya kalala kuliko aliyelala kweli.ww unajua kabisha pesa za uma zimeibwa na imethibitishwa na CAG TRA na hta PAC ambayo ilikuwa na wajumbe 19 wa ccm.na unasema wana wivu wa madaraka.badiliken watanzania...
  9. A

    Rais Kikwete na waziri mkuu Pinda ndio walipaswa kuwajibika kwanza

    kwa hiyo unaona ukawa wanakosea ila ccm ndo wapo sawa kulinda wezi.hakika kipofu haon mwezi.kama mwakan watagombea wa2 kama ww hili taifa halitabalika na kuendelea hta cku moja.napata shida kuona vijana kama ww wanalinda upuuzi!
  10. A

    Faida za kupitia JKT kwa wahitimu

    mm n mmoja wa waliopita jexh 833kj oljoro.faida zpo kdogo xana kama ku2mia claha,mk up.lakn c muhimu xana kuliko kuliko hzo hela zinge2mika kuwaxomexha waliokoxa mikopo.kuna faida gan ya kujua ku2mia silaha na hku umepata chuo umexhindwa kwenda sababu huna mkopo.serikal angalie vipaumbele vya...
  11. A

    Faida za kupitia JKT kwa wahitimu

    mkuu ucdanganye umma.kukok kila unapopiga ni kwa risasi za barid tu na hii ni kwa silaha zote hta SMG na G3.SAR ukikok mara moja kukiwa na risasi za moto unapiga mpaka risasi zote kumi ziishe ila sema haiwez kupiga bust(mfululizo ka smg) inapiga mojamoja.lakn co kukok kila unapopiga!!
  12. A

    Iko haja ya kuweka form six index number ya wanafunzi wanaokuwa admitted vyuoni

    dah wapo mwanang tena kuna jamaa alichagua nursing kcmc na ana 3 ya point 12 kapata ila me nina 3 ya point 11 nimekosa na tumesoma wote pcb shule moja, ko hlo ni suala la bahati tu mkuu.
  13. A

    Transfer TCU leo jioni

    notice gan mkuu.ikiwezekana post apa au tupe link.
Back
Top Bottom