Recent content by Alvah

  1. Alvah

    JamiiForums Tanzania The room 39

    Unahusiwa hakuna tatizo
  2. Alvah

    JamiiForums Tanzania Clouds Media, kuweni makini na kujiingiza kwenye siasa. Mtasuswa na watanzania!

    Dah tupo tofauti sana. Tv la hovyo sana Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
  3. Alvah

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa siri za Tausi kufugwa Ikulu

    Miaka IMEPITA hivi niliwahi waona wanafugwa pale Tabora jirani na National wana ita GAME
  4. Alvah

    JamiiForums Tanzania The room 39

    Ngoja tusubiri
  5. Alvah

    JamiiForums Tanzania The room 39

    Ndugu zangu wa JF naomba kupata uelewa zaidi ya Room 39 ya Korea ya Kaskazini. Nimejaribu kuperuzi nimepata machache tu nimeyakopy hapa chini..please mwenyewe uelewa zaidi naomba atiririke hapa.... The Room 39 is often commonly referred to as Bureau 39. It is a secretive organization in North...
  6. Alvah

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu hili la ndege Tausi

    Asante
  7. Alvah

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu hili la ndege Tausi

    Baada ya Rais JPM kukabidhi ndege Tausi kwa Wastaafu Kikwete, Mkapa, Mwinyi, Na Mama Maria. Nimejiuliza hivi ndege Tausi analiwa? Au ni mapambo tu? Lakini pia Mtu binafsi anaruhusiwa kumiliki huyu ndege? Nimeuliza maana Rais amewakabidhi hati ya umiliki kwa ndege hao.
  8. Alvah

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ashiriki ujenzi wa Ikulu unaoendelea Chamwino

    Mbali mbinguni wewe
Back
Top Bottom