HAta stamina ya kushikilia mpira anayo, yaani ni vigumu sana kumpokonya, diazi ni mashine ya vita, yamal kipaji halisi, sijavutiwa sana na olise naona kama mlaini hasa akikutana na beki ngumu, halafu mpira hafichi, ni rahisi kutibua au kupokonya
EPL tangu invincibles 2004, UCL final tangu 2006 , UCL trophy sijui kama mmewahi kubeba.
Lakini sasa mmetanguliza mguu mmoja kila eneo.
Hongera kwenu hakika mmepambana.
Amfundishe namna ya kufanya maridhiano baada ya machafuko yaliyosababisha vifo vya watu wengi.
Kagame ana uzoefu kwa yaliyotokea Rwanda 1994
MAana tunachoona anachofanya na hao majaji wazee ni kututia hasira zaidi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.