Recent content by alredy exist

  1. A

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu, Mr. Blue, TID, Recho wahusishwa na Dawa za Kulevya. Watakiwa kuripoti kituo cha Polisi

    usinaona hata ye kashindwa kumwekea swahiba wake GSM
  2. A

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akibadilisha Mawaziri, hawa lazima waende na maji

    mtu huru hawezi kuwa na jazba kiasi hicho anapoambiwa ukweli[emoji1][emoji1][emoji1]
  3. A

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akibadilisha Mawaziri, hawa lazima waende na maji

    niseme nini sasa kawaulize kwenu lashai walokunyima kura unaniuliza mie ?umetuma vijana wakupigie debe uwaziri holaa utaishia kutapatapa na unafiki wako..dhambi ya kuwagawa wana ccm BK inakutafuna nyang'au wee
  4. A

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akibadilisha Mawaziri, hawa lazima waende na maji

    kama we sio kagasheki basi umetumwa na huyo mtu
  5. A

    JamiiForums Tanzania Shule ya sifa: Shule ya Sekondari Milambo, Tabora

    nilisubiri atakae anza danganya kuhusu hili bifu,kwanza haukua wamilamno na boys ulikua ni milambo na girls haya anza kurekebisha ulipodamganya na elezea chanzo cha ugomvi sio ulihadithiwa unaleta story za uongo nilikuwepo so hutadanganya kitu
  6. A

    JamiiForums Tanzania Shule ya sifa: Shule ya Sekondari Milambo, Tabora

    umesahau kuwa walikua wanapiga msasa mnajipanga foleni lusubiri kufundishwa
  7. A

    JamiiForums Tanzania Shule ya sifa: Shule ya Sekondari Milambo, Tabora

    yaani we ni muongo mwaka gani huo labda.ubabe wa kianafunzi unaweza kuwepo ila sio eti watu wabadilishe behewa kwa ajili yenu kwanza hakukua na ujinga huo tabora ,na wakati wa safari mara nyingi tabora girls ndio walokua na mabehewa ila sio boys wala milambo na behewa la girls lilikua linajaa...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Shule ya sifa: Shule ya Sekondari Milambo, Tabora

    wadanganyeni wasioijua
  9. A

    JamiiForums Tanzania Shule ya sifa: Shule ya Sekondari Milambo, Tabora

    ebu acha kujitekenya wewe na tuotion mbona mnakuja kufundishwa na waboyzia
  10. A

    JamiiForums Tanzania Shikamoo bongo movie

    hHahah
Back
Top Bottom