Recent content by alphoncefrance

  1. alphoncefrance

    JamiiForums Tanzania Kosea kujenga sio kuoa

    Kweli lkn sijui kama inawezekana agata je? Wewe ni mwanandoa
  2. alphoncefrance

    JamiiForums Tanzania Kosea kujenga sio kuoa

    Kwanini tunasema kosea kujenga sio kuoa tuna maana moja tu sisi waungwana maana ukikokosea kujenga unaweza kubomoa na haitakuchukua muda mrefu kujenga tena lakini ukikosea kuoa itakuchua muda mrefu kuoa tena katika maisha na ndio maana kuna watu wakishaachana na mwanamke itamlazimu kutokuoa kwa...
  3. alphoncefrance

    JamiiForums Tanzania RC Makonda, kabla ya kuingilia ndoa za watu muulize kwanza Augustino Lyatonga Mrema alipoishia

    Mungu amtangulie makonda ili afanyikishe jambo hili
  4. alphoncefrance

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Jamani kuna msemo usemao cha mtu mavi na usiku wa deni auchelewi kukucha dawa ya deni kulipa tu si kumkimbia mdeni wako
  5. alphoncefrance

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Mungu jamani
  6. alphoncefrance

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumlinda mumeo

    Kama sifa hizi zipo kwa wanawake wa kitanzani basi ndoa zingekuwa zinadumu lkn unakuta mwanamume anarudi nyumbani mwnamke ajaoga mpaka umulize umeshaoga atakuji bado ukimuuliza kwanini atasema nimechelewa kupika au mtoto ananisumbua sana mume wangu kwanini mwnamume asichepuke mwanamke ni...
  7. alphoncefrance

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumlinda mumeo

    Ni kweli sana
Back
Top Bottom