Recent content by Alphonce Mawazo

  1. Alphonce Mawazo

    JamiiForums inastahili tuzo, imetusaidia wengi

    Namshukuru Mungu kwa kuniunganisha na familia hii kubwa, nawashukuru sana wanafamilia wa mtandao huu na zaidi sana waasisi wake. Hivi majuzi nimepokea zawadi kutoka Marekani kupitia kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la CHADEMA(BAWACHA) na Mbunge wa viti maalumu Suzanne Lyimo...
  2. Alphonce Mawazo

    Zitto: Ulidanganya Geita wanakuhitaji, leo umekiona cha moto

    Kama mwanasiasa mwenzangu nakupa pole(THE YUDA OF OUR TIMES)nilitamani nikuokoe na zomea zomea ya leo Katoro na Geita mjini.Mara kadhaa huwa nafikiri juu ya political intelligence yako na that genius in you. Katoro ulipanic sana baada ya kuulizwa u double standard wako kwenye siasa za nchi...
  3. Alphonce Mawazo

    Operation tigi tigi yagonga mikutano mia na saba

    Jana tukiwa Kisesa tumekamilisha jumla ya mikutano mia moja na saba tangu kuanza kwake,mafanikio ni makubwa sana kwa maana kwamba tumevuna maelfu ya wanachama na tumeimarisha chama kwa maana ya uongozi kuanzia ngazi ya chini kabisa yaani misingi. Leo tuko jimbo la Kishapu na mapambano yanasonga...
  4. Alphonce Mawazo

    Picha: Mavuno ya CHADEMA siku ya Pasaka

    Asante kwa uchambuzi danganyifu
  5. Alphonce Mawazo

    Picha: Mavuno ya CHADEMA siku ya Pasaka

    Thank you big man
  6. Alphonce Mawazo

    Picha: Mavuno ya CHADEMA siku ya Pasaka

    Nalifanyia kazi jemedari
  7. Alphonce Mawazo

    Picha: Mavuno ya CHADEMA siku ya Pasaka

    Nashukuru sana kwa kuniunga mkono kamanda
  8. Alphonce Mawazo

    Picha: Mavuno ya CHADEMA siku ya Pasaka

    Nawe pia Kamanda wangu
  9. Alphonce Mawazo

    Picha: Mavuno ya CHADEMA siku ya Pasaka

    Mungu atutie nguvu,pamoja na magumu tunayopitia tusikate wala kukatishwa tamaa
Back
Top Bottom