Recent content by AlphaBlond

  1. AlphaBlond

    LAPF waanza kuita watu kwenye interview

    Mkuu vipi walibadika list ya majina?au kuna sehemu wamepost majina ya walioitwa kwenye post ya comliance officers?
  2. AlphaBlond

    Badoo inanivunjia uchumba wangu

    Mwite mweleze ukweli na katika hiyo meeting tafuta shahidi ndugu au rafiki yake wa karibu mwonyeshe chat na picha zote kisha futa kila kitu anza upya.Usisambaze picha mtandaoni wala kwa Shigongo,inauma sana lakini overtime wewe ndio utakuwa mshindi.
  3. AlphaBlond

    Aina Tatu(3) za Ngono(Part B & C)

    (b)Ngono za Matamanio na Genye. Kuna aina Tisa vilevile za ngono kutokana na genye na tamaa ya kungonoka kama ifuatavyo: NGONO ZILIZO SAWA(EQUAL) WANAUME WANAWAKE Genyeg Kidogo Genye Kidogo Genye Kiwango cha kati...
  4. AlphaBlond

    Hausegirl katushika pabaya

    Nipo njia panda wakuu huyu jamaa ni kama ndugu kwa sasa na sitaki kuharibu uhusiano wangu na yeye ameshanisahidia sana huko nyuma Nifanye nini? Au nimpe tu hiyo hela housegirl kama ni ndugu yako usingethubutu kulala na mkewe hasa katika nyumba yake
  5. AlphaBlond

    Kwa wanawake tu: Njia 3 za kutibu moyo ulioumizwa (Broken Heart)

    NB: Njia hizi ni maelezo yangu binafsi kutokana na tafiti zangu. Hakuna kinachouma na kujisikia vibaya kama moyo ulioumizwa kimapenzi,kwamba Mtu umpendaye sana kutoka moyoni anasitisha Mapenzi/Mahusiano.Hisia za Aibu,Kunyanapaliwa,Kisasi,Hasiara,vinaweza kumbabaisha binadamu yoyote ambaye yuko...
  6. AlphaBlond

    Aina tatu za uume (Sexual Union)

    Hahaaaaahaaaa,Thats pretty good,Asante Mkuu
  7. AlphaBlond

    Aina tatu za uume (Sexual Union)

    Kuna aina Tatu na Migegedo(Sexual Union) (a)Migegedo kutokana na vipimo vya urefu na upana wa Pipe na ukubwa na kina cha Papuchi. (b)Migegedo ya Matamanio na Genye (c)Migegedo kutokana na muda wa Tendo. (a)Migegedo kutokana na vipimo vya Urefu na Upana wa Pipe na Ukubwa na Kina cha...
  8. AlphaBlond

    Mtoto wa mama mwenye nyumba ananitega...

    miaka 30 jela inakuita
Back
Top Bottom