Recent content by alpha simon

  1. A

    JamiiForums Tanzania Siyo Magufuli Tena ni Shein Simiyu?

    Mh rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi amewasili Bariadi jioni hii tayari kwa shughuli ya kuzima mwenge kesho.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aagiza Viongozi wa Serikali kurudisha posho za safari ya kuhudhuria kilele cha Mwenge

    Do! Mbona hasara sasa maana toka kumekucha nimesha waona kama wakuu wa mikoa kama wanne hivi hapa Bariadi.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Yu Wapi msanii nguli 20%?

    Heshima kwenu wadau! Naomba kufahamishwa,yu Wapi msanii nguli aliye wahi kuvuna tuzo tatu za kili kwa wakati mmoja? almaarufu 20%?
  4. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Neno lolote kwa ex wako

    Namdedicate wimbo wa Harmonize, "BADO".
  5. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Neno lolote kwa ex wako

    Nam dedicated wimbo wa harmonizi, "BADO".
  6. A

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mishahara kupanda maradufu!

    Duh! Yarabi toba roho yangu! Mshtuko ulio nipa mtoa uzi,,,,, ni Mungu mwenyewe ndo anajua. Ila nakukumbusha kuwa malipo ni hapa hapa Dunia.
  7. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanandoa wengi hawapendi kuongozana na wenzi wao?

    Nianze kwa kuwasalimu wana JF, kisha naombeni tusharee uzoefu wa kwanini wana ndoa asilimia kubwa huwa hawaongozani na wenzi wao hususani wakiwa mamealikwa kwenye shughuli mbali mbali za kijamii kama harusi ama shughuli zingine zinazofanana na hizo. Utakuta mzee amealikwa kwenye event tena kwa...
Back
Top Bottom