Wanaodanganya na wanaodanganywa hukumu yao ni moja. Hakuna aliye salimika kati yao, Watu wanaamini kwa miujuzi ila si Imani ilete miujiza, Miujiza inayozaa imani hiyo ni biashara na Imani inayozaa miujuzi huo ndio ukombozi.
Kesi kama hizi mara nyingi mshtakiwa hushinda cos mtu mwenyewe kwa...
Mbuzi kuchana mabango si kwamba wanaelewa nini wanafanya ila ni ile halufu iliyopo kwenye karatasi huwavutia nakuhisi ni kitu cha kutafunika
Kwa nini ccm?
Ukiangalia kiasi cha mabango yanayopatikana kwa wingi na kwa wepesi zaidi ni ccm kuliko chama kingine chochote kile,mfano huku niliko...
Usipoelewa siasa,bora usijihusishe na siasa ila fanya kutekeleza yale sheria inasema juu ya maamuzi yanayotokokana na siasa
La sivyo mihemko yenye asila kali itakugharimu wewe pamoja na familia yako,
Hapo atasomewa vifungu mpaka basi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.