Inaelekea kwa majibu yako haya unachokitaka kwa hatua hii siyo kumkataa Msimamizi wa Mirathi, ila nikupinga namna alivyo gawanya mali pamoja pia na hukumu ya Mahakama ya Mwanzo iliyokubaliana na ugawaji huo, ndiyo maana umeshauriwa juu ya Revision. Na wasiwasi unahitaji msaada zaidi.
255 654323268
Je wajua kuwa una haki ya Kumshtaki Wakili wako Mzembe Mbunge wako Je?
Ni bahati mbaya kuwa wanasheria ndiyo waelimishaji washeria, hivyo basi nivigumu kukuta wanatoa elimu inayowanyooshea vidole.
Kupitia mwanya huu, baadhi ya Mawakili, ambao bila shaka ni wachache wamekua Mamwinyi dhidi ya...
Je wajua kuwa una haki ya Kumshtaki Wakili wako Mzembe
Ni bahati mbaya kuwa wanasheria ndiyo waelimishaji washeria, hivyo basi nivigumu kukuta wanatoa elimu inayowanyooshea vidole.
Kupitia mwanya huu, baadhi ya Mawakili, ambao bila shaka ni wachache wamekua Mamwinyi dhidi ya wateja wao...
Hapana, ni mmbantu lakini ni mweupe, mrefu, kipindi cha nyuma alikuwa muajiriwa wa Kampuni ya ufundi pikipiki Kariakoo jangwani, iliomilikiwa na Wahindi ambayo kwa sasa imefungwa! Asante kwa kuhusika!
Tafadhali ndungu zangu wanajamii yoyote anaye mfahamu nakujua halipo fundi pikipiki anayefahamika kwa jina moja la fowadi, mpemba aishie dar ani inbox. Zawadi nono itatolewa. Ameiba pikipiki aina ya kinetics asw T388
Tafadhali ndungu zangu wanajamii yoyote anaye mfahamu nakujua halipo fundi pikipiki anayefahamika kwa jina moja la Fowadi, Mpemba aishie dar ani inbox. Zawadi nono itatolewa. Ameiba pikipiki aina ya Kinetics (VESPA) ASW T388. Ni mwembamba mweupe, anavuta sigara sana na akili yake inaenda kwa...
Na Aloys Rugazia
Jumapili asubuhi ya tarehe 14/10, ninaamka alfajiri na mapema nakujiweka sawa kwaajili yakuanza siku hii muhimu, ni baada yakuota ndoto za ajabu ajabu usiku kucha, ndoto zinazo changanya kuhusu nchi yangu, moja ya vipande vya ndoto hio ninavyo vikumbuka, ni ile yakumuona...
Just a minute mmiliki wa blog hii au promoter wa blog hii ya Jamii Forum ni nani tumpatie shukrani zetu kwa kukuza uhuru wa mawazo huku tukisherekea miaka hii hamsini ya uhuru?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.