Recent content by aloyhiza

  1. A

    Rafiki yangu amekata tamaa ya kutafuta kazi

    kama ni ke, mwambie aoelewe kwanza apumzishe kichwa. atatafuta kazi mdogo mdogo akiwa kwenye ndoa.
  2. A

    Natafuta kazi, nina elimu ya kompyuta

    hafu hii nchi yetu sijui ipoje, mtu akisoma computer application anajiita IT, akijua kubadili Window anajiita IT. Mnaharibu professional za watu.
  3. A

    Natafuta kazi, nina elimu ya kompyuta

    una level gani ya IT.
  4. A

    Niache kazi au nivumilie kashfa za bosi?

    huyo boss wako ni wakutoka ASIA nini, watu wa uko ndio walivyo, Lakini ni wazuri sana kwa kufundisha watu ETHICS za kazi. We komaa tu. Working experience ya mwaka mmoja kwake ni sawa na kujiandalia hazina ya miaka kumi sehemu utakapokua baadae.
  5. A

    Naomba Kazi

    fungua workshop ya computer mkuu
  6. A

    Nina ndugu yangu ana degree ya sheria anatafuta kazi

    dah shida kweli, yani kukaa bila kazi. ajarib tu popote hata pakujishkiza bila kujali professional.
  7. A

    Mohammed Dewji vs S.S Bakhressa

    poor mind discuss people.
  8. A

    Kuku wa mayai ya kienyeji

    mbona heading yako haiendani na ulichokiandika ndani mkuu
  9. A

    Barua ya wazi kwa Rais Magufuli

    hakukua na haja ya kuweka namba ya simu mkuu, walimu hua wanapangiwa tu vituo vya kazi.
  10. A

    Natafuta kazi, Public Relations and Marketing

    mtoto wa mjomba, shangazi, n.k utamjua tu. kwasababu wewe umeungiwa na mjomba unahisi tabu ya ajira iko kwetu sisi wanaume tu. heshimu post za watu, mtu anapohitaji msaada kama huna cha kumsaidia bora umuache kuliko kumponda.
  11. A

    Nimesoma Public Relations and Marketing, natafuta kazi!

    pole sana kk,kaza buti siku moja utapata. jaribu kuangalia na opportunities nyingine hata ambazo zipo out na field yako.
  12. A

    Anahitajika mwalimu wa physics haraka sana

    Anahitajika mwalimu wa physics katika shule ya secondary living stone boys seminary, shule ipo maeneo ya Muheza mjini mkoani Tanga. Tunatoa mshahara mzuri kwa mtu atakaye kizi vigezo vyetu. Mbali na mshahara pia tunatoa nyumba na huduma mbalimbali kwa wafanyakazi. Muombaji awe na degree au...
  13. A

    Access Bank Mwanza Interview Accomodation Cost

    komaa ndugu, hiyo pia ni moja ya interview. ila jaribu kutafuta mtu saut unaweza lala hostel kwa siku hizo.
  14. A

    Ajira ya Uhakika hii Hapa: Hakuna mizengwe

    tafuta ajira yoyote ufanye ili ujipatie kipato, achana na huo upuuzi uliouweka humu janvini.
  15. A

    Call for interview

    mpigie simu huyo jamaa umuulize au fika ofisini kwao
Back
Top Bottom