Rais,zimwi likujualo halikuli ukakwisha.
Kabla ya kifo chake kasisi wa kiroma st.Francis of Assisi aliwahi kusema “start by doing what’s necessary; then do what’s possible; and suddenly your doing the impossible” kwa tafsiri ya jumla katika maisha tunapaswa kuanza na vitu vya muhimu,vinavyowezekana na visivyovyowezekana.
Kwa kufuata mtazamo wa kasisi huyu kuna mambo ambayo hatupaswi kuyabeza katika utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya chama cha mapinduzi chini ya uongozi wa serikali ya mheshimiwa JOHN POMBE MAGUFULI.
Start by doing what’s necessary
Katika awamu hii kuna vipengele vya muhimu ambavyo serikali imeweza kuviangalia nasi kwa pamoja hatupaswi kuvibeza ila kuvipa kipaumbele na kutoa ushauri, miongoni mwa vipengele hivyo ni;
• Ufutwaji wa michango katika elimu(elimu bure)
Licha ya kuwa suala hili linachangamoto zake lakini tunapaswa kwa nia ya dhati kuishukuru serikali kwa namna ilivyofanya kwani imesaidia ongezeko la wanafunzi wengi mashuleni na kupunguza mzigo wa ada kwa wazazi na michango mbalimbali.
• Uondoaji wa kero ya madawati(kutengeneza madawati)
Hili kwa pamoja bila unafiki inapaswa tukiri ilikuwa ni changamoto kubwa sana kwa wanafunzi na ilikuwa ni adha iliyowafanya watoto wengi wamalize shule pasiponakujua kuandika vizuri na suala hili limeshughulikiwa ipasavyo inapaswa tuisifu serikali ya JPM kwa hili, madhalani mimi kwetu Rorya leo hii hakuna hata shule moja ambayo wanafunzi wanakaa chini.
• Ufutwaji wa safari za nje
• Uingizwaji wa ndege mbili mpya.
Miaka miwili iliyopita nikiwa na marafiki zangu tunajadiliana maswali kadha wa kadha pale chuo kikuu cha mtakatifu AGOSTINO Mwanza lilikuja tangazo la watu wa Rwanda kuipromote shirika lao la ndege la Rwanda airlines,hapo ndipo kejeli kwa serikali ya JK ilipoanza na ndugu zangu wa upande wa pili ambao wengiwao ni viongozi wakubwa wa BAVICHA walinieleza naman ambavyo serikali yetu inatutaia ainub kwa kukosa shirika la ndege niakawakubalia.
Hivyo serikali ya JPM imetufutia aibu wana ccm na watanzania kwa ujaumla kwa ujumla ujio wa ndege ulikuwa ni wa muhimu kwa kipindi hiki.
• Uhakiki wa watumishi
Zoezi hili lililotengeneza na kujipatia umaarufu nalo lilikuwa ni la lazima na tuishukuru serikali kwa namna ilivyofanya kuhakikisha linafanyika kwa weledi licha ya kuwa na changamoto za hapa na pale lakini limefanikisha kuondolewa kwa watumishin wengi hewa ambao walikuwa wakijichukulia pesa zetu wanavyohitaji.
Baada ya kukamilika kwa hili zoezi au hatua hii ya kwanza sasa naelekeza mjadala wangu wa leo kwenye hatua ya pili ambayo ni
Do what’s possible
Naamini kitu ambacho ni possible kwa sasa nikutangaza na kumwaga AJIRA kwa vijana hili tu ndilo jambo litakalo kupunguzia kelele. Pia litasaidia kuondoa adha kwa kundi kubwa la watoto wa maskini ambao wamekuwa wakizisubiria kawa hamu sana tukiwemo na sisi wa chama cha mapinduzi tulianza kuambiwa kuwa TUNAISOMA NAMBA.
“Doing the impossible”.
Sasa ni wakati wa mkuu wa kaya kuuthibitishia umma wa watanzania kuwa anaweza kuushangaza ulimwengu kwa kufanya yafuatayo
• kuboresha maslahi ya wafanyakazi
• kuandaa mjadala wa kitaifa juu ya ni mtaala gani wa elimu unaofaa kwa maslahi mapana ya Taifa.
• kumwaga ajira kwa vijana wa sekta zote ndani ya mwezi huu.
Naamini Rais wetu ni msikivu na ni mcha Mungu, na katika maandiko kuna fungu linasema aombaye hupewa na abishae hufunguliwa.
Mimi kama kijana naendelea kukuombea mheshimiwa upige kazi ya kulijenga taifa letu but kumbuka kufanya vitu visivyotarajiwa na watu maarufu kama “doing the impossible”
Imetolewa na,
Pasaka O. Rucho
0756231744
Mwalimu anayesubiria ajira.