Recent content by Aloycew

  1. Aloycew

    Kuhusu Mungu na chanzo cha Ulimwengu, kuna mahali hatuna taarifa kamili/sahihi?

    Hata tukimlaumu mungu ndo basi hatuna namna. Ni mtihani kwa mwanadamu na inatupasa kuufaulu maana huu ndo muda pekee wa kutafuta njia sahihi coz ukishakufa bila muelekeo kiberiti kinakuhusu. Ni heri uamini yupo umtafute hata usipomkuta haujapoteza kitu. Ishu ni usimuamini afu umkute , yani...
  2. Aloycew

    Kuhusu Mungu na chanzo cha Ulimwengu, kuna mahali hatuna taarifa kamili/sahihi?

    Sikiliza testimony za watu waliotoka kwene ushirikina . Wapo waongo na wakweli utawajua kwa hisia na uhalisia wa matukio wanavotiririka
  3. Aloycew

    Maswali 20 kwa Mungu

    Mungu alitumia uroho wa wazungu ili waje africa na hiyo ndo gia ya mungu kuingiza habari njema (ukristo ) lasivyo kusingekua na chakumleta mzungu Africa hivyo na mungu au kristu tusingelimjua. Kwakifupi. Ukoloni ndio ulileta ukristo na si ukristo ulioleta ukoloni
  4. Aloycew

    Ulianzaje kukaa gheto?

    Hongera tunajua unataka kuonyesha hastling zilipokufikisha bt kama ulikaa geto mwanzo hilo ndo tunalitaka ili tuone ulitoka wapi
  5. Aloycew

    Kwa wale ambao umri umeenda na bado mpo nyumbani 2021 mna mipango Gani ya kimaisha?

    Wanakaa kwa baba mwenye nyumba ambae pia ni mzazi.kiufupi wamepanga ila hawalipi kodi
  6. Aloycew

    Starehe za Mlimani City na bei za ajabu ajabu

    Kwa awamu hii mlimani city ni mwendo wa kupigia picha tu
  7. Aloycew

    Ulianzaje kukaa gheto?

    Mkuu umetisha ila nikupe tip. Faza mjengo akikuruhusu ukapiga rangi huo ukuta patakua pametisha zaidi
  8. Aloycew

    Wanawake wanapojitoa fahamu kupinga mfumo dume wanataka mfumo gani utawale ngazi ya familia?

    Sijui chanzo cha hii falsafa ila ni wazi hii ishu inapewa nguvu na wanawake wasomi na baadhi ya wanaume ili kuwafurahisha wake zao. Ikumbukwe kua mungu alifanya hekima ya ulimwengu huu kua ni upumbavu.
  9. Aloycew

    Ni mfumo upi mzuri wa kuacha matumizi nyumbani?

    Walahi umemaliza. Hata mtt akirudishwa ajatoa mchango wa buku2 shuleni ataambiwa amsubili babaake.
  10. Aloycew

    Ulianzaje kukaa gheto?

    Geto panachangamoto lkn msikate tamaa kurudisha mpira kwa kipa mmh!!! na kipa aking'oa magoli itakuaje?
Back
Top Bottom